Recent content by guidotti

  1. G

    JamiiForums Tanzania Huawei GR5 Inafaa?

    Simu kama????
  2. G

    JamiiForums Tanzania Help

    I think ni 50000 tshs . Unailipa kupitia maxmalipo au mpesa,tigo pesa etc when you pay e.g maxmalipo they'll give you a receipt ambayo it has details that you'll need.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Okay brah nilikuwa nasikiliza speech baadhi za bunge nadhani nilikuwa carried away samahani.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Watu wameshacomment kwamba kuitani waheshimiwa ni kanuni walizojiwekea wenyewe!!!. Sasa nyie mnavyosema anadai sio kwamba anadai anataka kila mtu afuate sheria. Mpaka natamani sasa lowassa angeshinda awape elimu maana duh!!![emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Kwani nyie sugu ni msanii au sio msanii. Sugu haimbi ??? Au kwa kuwa ni wafuasi kila kitu kinachosemwa upande mwingine ni kI bays...?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Inawezekana . Yaani kabla ya kudiscuss vitu muhimu unawaza au unatoa mfano kuhusu kuona chupi what a pervert ????!!! Kwani kusupport kitu lazima unufaike we unafikiri wale waliosema tenda wema uende zako walikuwa wanamaanisha nini.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Isikilize tena kasema "mheshimiwa sugu yule msanii" kwani sugu sio msanii??? Kwamba anaimba au wewe umeelewa msanii kama mbabaishaji.?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Ndio akili zenu nakupa pole kwa kichwa Chako ulichonacho.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Lakini ukibahatika kuwa mbunge kama unataka ni lazima kuwa addressed hivyo....... NI SIYO WHAT WEWE UNAJALI AU HUJALI.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Na hiyo ni kutokana na your personal rules. Na bungenI pia wana legal rules zinazowaongoza.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Yaani nakuambia hawa ukawa waache tu . Ndio maana lowassa said kipaumbele ni elimu. Wenyewe kila kitu wanabisha hamna lolote
  12. G

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aagiza wabunge watakaokuwa wanasusia Bunge kutolipwa posho

    Muwage mnasikiliza vizuri sasa uonevu wa nini . Na kutolewa sababu na kanuni zote zile bado unasema ni uonevu. Alafu poa ametoa uamuzi ambao umewahi tolewa bungeni . Binadamu sisI bana.[emoji19] [emoji20]
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waanza kupinga hoja ya Kumg'oa Naibu Spika, Tulia Ackson

    Hivo unasema wewe unajua kabisa hakumaanisha hivyo.
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    We unafurahisha sana uko real.
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Hapo umenena bana maana watu tunajionaga wenyewe tu na sio kufikiria w engine.
Back
Top Bottom