Recent content by GUI1

  1. GUI1

    Siku mkija kugundua aliyetaka kutoa uhai wa Tundu Antipas Lissu sio Magufuli ila wahuni walitumia fursa mtakubali? Na leo wanataka kumnyonga

    Acheni ujinga, huyo Magufuli alishindwaje kuwakamata? Acheni kumuona Magufuli kuwa alikuwa mtakatifu sana.
  2. GUI1

    Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

    Kitima inatakiwa aulizwe hili swali.
  3. GUI1

    Hii dunia watu makatili sana. Sikiliza hii stori ya John Kaaya akieleza jinsi polisi walivyomtesa

    Duniani mateso yako pale pale osipo kuwa aina na ni kwanani ndio hubadilika.
  4. GUI1

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Neno mitsubish, linavyo tamkwa na mpangilio wa herufi ni tofauti.
  5. GUI1

    Maandamano Yajayo yasipangiwe Tarehe, yafuate kwenye mikutano yote Public yenye viongozi wakuu

    Ifike mahala tuwaze mambo mengine, Kenya hapo wameandamana sana hadi kuingia bungeni, kuna kitu kinebadilika? Tika enzi maisha yalikuwa magumu, nanhatuwezi kuwa matajiri wote na hatuwezi kuwa viongozi wote. Haya mambo yana pangwa na Mungu mwenyewe. Vijana pambaneni kutafta riziki, mtaishi...
  6. GUI1

    Je, Mange kachukua pesa za Samia?

    Hahahahaha yaani kumbe mko serious mna mtegemea huyu Mange?
  7. GUI1

    PostGE2025 Padre Kitima: Vijana si wajinga, kusema wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi

    Yaani kwa busara kabisa kwa kipindi hiki, ili paswa kukaa kimya tu. Yaani ni kama vile wana tunashana misuri na serikali. Ukweli ni kwamba kuna makosa kiuendeshaji lakini kujua nini cha kuongea kwa nyakati gani ni mhimu zaidi. Mwisho hatuwezo kuwa viongozi wote kwa wakati mmoja.
  8. GUI1

    Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Kuharibu mali za watu wengine ni ujambazi.
  9. GUI1

    Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Ni ujinga kuharibu mali za mtu mwingine. Tunaweza kufikisha ujumbe bila kuharibu mali za watu.
  10. GUI1

    Tujenge kabisa wanajf

    Na umehamia Dar kweli. Hahaha
  11. GUI1

    Trump anaidhalilisha Marekani

    Hadi huko Marekani kuna mafisadi kibao. Pia hujui kama Marekani ana fisadi mataifa mengine?
  12. GUI1

    Secta Binafsi, Watanzania Tumiliki Uchumi pia tuchangamkie Fulsa

    Hizo ni mbinu za kibiashara. Hata Rostam anaweza akaibuka leo aka watuhumu wa shindani wake. Hapa nadhani wa kulalamikiwa ni serikali sio huyu bwana na wengine. Mfanya biashara duniani kote ana tafta upenyo.
Back
Top Bottom