Recent content by Gugle

  1. G

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Umeelewa? au huelewi HUAWEI Walivyokiri wenyewe? Moto ununguza mafuta wewe unamwambia aliyemwaga mafuta aendelee kuchota.Inawezekana kweli?
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu ni zaidi ya Lowassa, kaeni mkao wa kukabidhi Nchi kwa Amani

    Sijaona ile mbuga ya Chato,Kiwanja cha Chato na Ile hiteli ya kitalii Chato.Ongeza hapo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Unaandika kana kwamba wewe ndiye uliyempangia kipindi na ratiba nzima.Yeye ni Mtaalamu na fundi wa sheria.Huna utaalamu wala ufundi wa kumpangia cha kuongea.Tulia tu.Au vipi
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

    Sisi tumeelewa.Mwanzoni tuliona kuwa ni maendeleo. Sasa tumejua kumbe ni ubinafsi na ubabe umetumika kupeleka wanyama huko.Ahsante kampeni kwa kutuhabarisha.Tena ni zile fedha zilizomfukuzisha kazi CIAG 1.5Uonevu mbaya sana.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Sio kila mwajiriwa anapenda kuona wengine wakionewa,wakibaguliwa au kutotendewa haki Mungu ana watu wake kila mahali.Tambua kuwa tone moja la damu thamani yake ni kubwa.Linapopotea bila sababu,na anayesababisha tone hilo kudondoka bure ukawa ni wewe,basi subiri yatakayofuata.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Kwa hiyo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Wewe kwako ni kelele.Iko siku inakuja kwako utajua kama ilikuwa kelele au kilio au muziki wa ala.Mungu akusaidie.Haki huinua taifa bali dhambi ni Aibu wa taifa.Taifa hili litabaki masikini milele.
  8. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

    Hatuli masanduku sisi.Wewe naona unayabugia.Akili ndogo haina hekima wala maarifa.Kufikiri kwake ni kudogo mno.
  9. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

    Kwangu nilishafuta Tbc channel 10 Eat ☆tv Itv ndo naendelea kujaribu kuifuta.Kwangu nimebakiza Utv upendo
  10. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Mzee Mkapa ameharibu mambo matatu tu, kuna doa sugu la Zanzibar

    Ni sawa ila pia kumbuka KIWIRA kule kusini.Ni doa kubwa kwa WaTZ.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Akafungue nyingine aone kama sisi wananchi tutakuja.Kwanza tutakuja kufanya nini saa za kazi.Ni kweli huu ni ukatili na uonevu mbaya.Taratibu za kumsimamisha kazi mtumishi wa umma Tanzania jamani ziko wapi? Sasa hivi ni kufukuzana kazi tu bila kujali utu wa mtumishi wa Umma. Wizara ya kazi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

    Usifurahishe umma.Angalia vizuri.Mimi nilikuwa kwenye hii foleni
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wazee Kigoma: Askari aliyemkamata Zitto kama Jambazi aombe radhi lasivyo kukiona

    Sawa wewe sio mzee.Una haki ya kusema hivyo.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Aaaa kweli nakumbuka sana. Sasa hivi wako hoi. Hivi TBC bado ipo,kwenye Tv yangu nilishaing'oa tangu wamkatae Tido Mhando ambaye sasa tuko naye Azam Tv.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Mjibu tu kistaarabu jibu moja kati ya haya.1.Ndiyo 2.Hapana 3.Sijui. Jibu swali kufuata maelekezo uliyopewa.
Back
Top Bottom