Recent content by gublod

  1. gublod

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Mbona hausemi kuongeza wabunge Dsm, Arusha, Kilimanjaro, Morogoro (ambako hakukuwahi kabisa kuwa na wabunge wa upinzani), n.k
  2. gublod

    JamiiForums Tanzania Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

    Wanamabadiliko,Leo ndio ile siku ya FUNGAKAZI ambayo tulikuwa tunaisubiria hususani kwa watu wa DSM hapo Jangwani.Hadi sasa sijaona updates zozote ya juu kinachoendelea pale Jangwani, mwenye nazo naomba atupie hapa. Wengine tupo mbali na Dar ila tunataka kujua kila kinachoendelea
  3. gublod

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe Hawa Vijana Ulowaweka Kambini Wakafanye Nini

    Ebu toa ufafanuzi zaidi, kawaweka kambi gani na wapi? Kwanza huyu Leprofesar hapo Mwanga hali yake vipi? Yeye bado hajatoroka tu? Na nyie Wapare mkimchagua huyu jamaa nitawaona wa ajabu sana
  4. gublod

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

    Hivi jamani mikutano ya CCM imeishia wapi, au zaidi ya Kinana hakuna mikutano mingine inayoendelea. Maana sioni picha zao kabisa
  5. gublod

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tathmini ya nyumba Mtoni Kijichi

    Weka picha
  6. gublod

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

    ''Chama changu cha ACT''
  7. gublod

    JamiiForums Tanzania Picha; Operesheni Imba ukombozi yazidi kushamili Kanda ya Nyanda za Juu Kusini

    Hivi CCM zaidi ya Kinana, huwa hakuna wengine wanaofanya mikutano mbali mbali? Maana inaonekana Kinana akilala hakuna kinachofanyika, ni sawa kabisa na ACT. Ila Chadema wana twanga kote kotecc mussa allan
  8. gublod

    JamiiForums Tanzania Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

    Only in Tanzania, 'Do not believe in any report or statement until it's officially denied'. Lets wait
  9. gublod

    JamiiForums Tanzania Afisa Mikopo CRDB Makambako anakera

    Acha chuki binafsi. Huwezi safiri toka nje ya wilaya na kufikia guest eti unasuburi mkopo. Kawaida unajaza form zako unaacha unaondoka hadi taratibu zitakapokuwa tayari unaitwa, bila hata ya kutoa rushwa. Unauhakika gani kama hao ''wafanyabiashara wakubwa'' wameanza taratibu za mkopo ndani ya...
  10. gublod

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

    Mara hii umeshatoka katika msafara wa Kinana tayari umeshaingia kwenye msafara mwingine wa Bavicha, kweli wewe ni kiboko
  11. gublod

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

    Duh, yaani hadi Afande Sere nae amepata shavu la kuwa mzungumzaji wa Kitaifa, kweli kazi ipo
  12. gublod

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mufti juu ya katiba mpya

    Mbona huyu nae amechelewa, inakuwa kama ndio anaamka toka usingizini. Mambo ya katiba mpya yameahirishwa ndio anajitokeza leo. Sasa hayo anamwambia nani? _manina!!
  13. gublod

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kinana jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro

    Tafadhali mje mtupe taarifa ilikuwaje uko katika hii ziara, maana naona mahasimu wakubwa wawili walikuwapo katika hiyo ziara, hapa naona picha tu cc MTENGETI
  14. gublod

    JamiiForums Tanzania Mgomo kwa wana UKAWA tuu, ni muhimu kusoma hapa

    Jamani naomba wote tumzomee huyu jamaa. Mimi naanza hivi... Hilooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!
  15. gublod

    JamiiForums Tanzania Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    وقف التهديدات ، وأنت طفل صغير جدا . رؤية كبار الس&#1606...
Back
Top Bottom