Recent content by guasa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

    Nadhani kuanzia 2 hapo waweza kumpata the general
  2. G

    JamiiForums Tanzania Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

    General Jonathan krantz prison break
  3. G

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Ndio kusaidia wapita njia huko mungu awabariki
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kepa awalaza Chelsea na viatu

    Laana ya Ukraine hiyo alisikika mlevi mmoja akisema
  5. G

    JamiiForums Tanzania NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

    Pana utundu wa sure boy pana utundu wa faisal pana ufundi wa aucho pana harakati za tibazonkiza pana kashkash za mayele unaponaje hapo?ukipata sare shukuru. Na bado utatu huo wa fey sure boy na aucho haujakolea ukitulia huo ni ushindi tu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

    Nyembe za kutosha zimeng'oa visiki kidevuni kisha unambie ana 15 labda ndevu za ukoo. Jambo hili pana waqt hivi under under za Ghana zilitisha katika mashindano ya kombe la dunia la under under lakini ikaja bainika ni vijeba na nadhani walifungiwa kwa muda flan.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 17 ajinyonga baada ya kuachika mara tatu kwenye ndoa

    Kapiga hattrick ya ndoa kaondoka na mpira wake
  8. G

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji wa kwanza wa uume wafanywa na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan

    Eeeh waweza kukosa vyote bible mshukuru muumba kwa kila jambo.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji wa kwanza wa uume wafanywa na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan

    Huo wivu sasa umepewa kipochi manyoya tumepewa mipini shida ipo wapi?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji wa kwanza wa uume wafanywa na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan

    Uliumbwa kwa matumizi yetu full stop .
  11. G

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji wa kwanza wa uume wafanywa na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan

    Sayansi hii itafika waqt watu watakuwa wana azimana mipini
  12. G

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Umetiririka vizuri kuwa ukipata kikubwa utafanya makubwa ile isism yenu ya kupokea tu umeiweka kando I salute you
  13. G

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Ghafla umekuwa wife material
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Jamani mwenzenu kaonyesha njia fuateni huwa najiuliza ile ladies first huwa penye kutoa au kupokea!
Back
Top Bottom