Inategemeana ni kosa kwenye angle gan...
Katika angle ya mapenzi mwanamke akikuchiti kusamehe ni udhaifu kwakua hawezi kumvulia nguo mtu ambaye hana hisia nae...
Mandela pindi alipotoka gerezani aliwasamehe wengi walomkosea ila hakumsamehe mke yule alomchiti pindi alipokuwa gerezani.
Jirani mbona ni juzi tu shemeji ametoka kukwambia mkono kama stili waya ulipokua unamtoa kichunusi shavuni....
Kumbe mpaka faragha huwa unautumia huo huo🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.