Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.
asante...vipi ukichelewa kuriport kama week moja na nusu hivi unaweza kupata hosteli? ni ndan ya sku ngap za kuriport unaweza kupata hostel kama watoka mbali?
asante kwa ushauri mkuu....ila mi sjaelewa hapo kwenye nauli...hiyo ni ya kutoka mjini kwenda chuo? je kama umekuja na bas kutoka mwanza ukishuka stand nauli ni sh ngap kufika chuo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.