Habari zenu wana jukwaa la sheria
Niende kwenye mada moja kwa moja mwezi mmoja wiki kadhaa zilizopita kuna mtu nilifanya nae makubaliano ya kununua biashara yangu kwa kiasi cha milioni 4 na tukaandikishana akanipa milioni mbili kwanza na nyingine angenipa trh 20 mwezi huu kisha nimuachie ile...
Habari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30,000 kwa siku, ushauri wenu ni muhimu sana, asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.