Leo wamekata mapema saa 18:35hrs,lakini mi najiuliza kwa nini iwe usiku tu na kila siku kuna nini hapa,huku kuna ili bomba la mafuta kwenda zambia uwenda ndo sababu ya kufanya hivyo
Ni mwezi sasa kumekuwa na tabia ya umeme kukatika kati ya saa 19:30 20:15 nakurudi kati ya saa 21:30 22:50 huku maeneo ya mbagala kirungure na maeneo ya jirani na hapa ,Tanesco tatizo ni nini.
Ni nzuri sana kwa nokia x,xl... ,whatsapp ya kawaida unaipata kwenye store but itakwambia haisupport unapofungua so restart zn check na rafiki mwenye whatsapp mtumiae ujembe au akutumie utaona kwenye fastline utaweza fungua ujumbe but kwa whatsapp + haina tatizo kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.