Mimi nimeona wameru 8 wenye matatizo makubwa sana ya ubinafsi,roho mbaya,chuki,na kila aina ya ushenzi wako nao,na niko nafanya kazi kaskazini Arusha kwa miaka 14 sasa
Nenda kaangalie Mrindoko yule mchokonozi alivyo muongelea Lissu, kimsingi huyo ni anatengeneza tension kwa watu maana na yeye hiyo ndo kazi yake anaishi kwa kusemwa semwa hivyo,anachokoza kitu makusudi ili apate kiki aendelee kung'aa lakini hana lolote la kwamba yeye akiwa madarakani kwamba...
Ushabiki wa kipuuzi unaweza mdharau hata aliyekuzaa ukasema Lissu ana akili kuliko baba yako, watu wako kazini wanatafuta kazi wapate pesa kwa njia zao nyie mnakurupuka tu na kauli za kitoto.
Mengine mnaleta mbwembwe tu, kweni huna nguvu kwenye miguu inayotembea au mikono inayoenda mbele na nyuma muda wote unapo tembea? Macho yanayofumba na kufumbua kutwa nzima je?
We sema tu kujichua siyo njia sahihi ya ngono basi, lakini kuanza maneno mengi ni kujifanya kujua kwenye hamna
WaTanzania ni watu tuna shida sana,mtu akitetea CCM eti hafai, ila akisema yeye ni Chadema au ni mpinzani, eti anaitwa Kamanda anayejitambua.
Sikilizeni,kila mmoja ktk maisha haya anaishi kwa utashi wake aliyo pewa na MUMGU,kila mmoja ana maamuzi dhidi ya maisha yake na jamii inayo mzunguka...
Siwezi kukupa mapana ya tafisiri halisi ili uelewe kwa nini inafupishwa kusema hivyo. Ila tu mi mwenyewe nashangaa ni kwa nini watu wa Desturi ya Kiarabu waliambukiza Desturi yao mpaka huku kwa watu weusi kwamba mtume wao alifikia kulala mpaka na mtoto wa miaka 9 na wanashangilia,wanaingia...
Nyoe ni vijana wa 2000 msiojua hata hii nchi imetoka wapi,ni kukurupuka tu bila kujua wanao waaminisha wanaendeshwa na tamaa za kupata madaraka na pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.