Unaweza KUCHUKUA mkopo na ukaanza biashara kwa mara ya kwanza na ukafanikiwa, ila itabidi uzingatie mambo haya.
1.hakikisha unakuwa sehemu ya hio biashara (uwe muhusika namba 1) na utambue ni wapi sehemu sahihi za kuchukua mzigo, na pia lazima ujue bei za mahindi kwa Kanda tofauti.
2.hakikisha...
Daah pole sana aisee, mimi mwenyewe nafanya hizo harakati.
Kosa kubwa ambalo umelifanya ni kuweka mzigo store kisha kusubiri wateja waje em vuta picha unaenda kupigika porini kisha uje dar halafu uweke mzigo kisha usubiri wateja waje ndo uuze aah kaka HAPANA.
sehemu shindani kama hizo mbagala...
Kabla ya kuchukua huo mkopo hakikisha biashara unaijua nje ndani, jifunze kwa kupitia sehemu Kama hizi kabla na sehemu zinginezo pia ulijue soko lako, jifunze na ujue hasara huwa Inapatikana vipi na faida inaapatikana vipi....kabla ya kumiliki biashara Anza kwanza kuiishi hio biashara kichwani.
Haya mdogo wangu kama huja pata sehemu sahihi kwa dar basi njoo nikuoneshe sehemu sahihi, na uanze hio biashara kuhusu Pumba nitakufanyia mpango wapi pa kuuza na hata wafanyakazi wa ofisi ukiwa huna, mi nitakuwa nao wa kukupatia, ila uwe tayari na mimi niwe naleta mzigo wangu nasaga kwa gharama...
Kama muda unao mdogo wangu, mtafute mtu mmoja ambae ni ndugu yako mnaewezana awe mkubwa kdg kukuzidi ambae ana mishe za kuungaunga kisha mwambie kuna boss anahitaji vijana wawili...jifanye kuwa anataka ma agent wa kumuuzia mzigo dar.
Wakati huo inabidi ujue mahindi utakuwa una chukulia wapi...
Mpk unataka ushauri sio kwamba umekosa kabisa cha kufanya, kinachokusumbua ni hofu ya kuanza na unafikiria hasara zaidi kuliko faida.
Cha kufanya... Tafuta wazo zuri la biashara, ujue na wateja wako ni kina nani, biashara utakayoanzisha isizidi mil 6 mtaji na isiwe chiin ya milion 5 mtaji...
Habarini wadau wa JF,
Kitambulisho cha Nida kina taarifa kamili za muhusika wa kitambulisho hicho.
Sasa kwanini kisitumike hicho pekee katika kujaza fomu ya kupata passport ya kusafiria...badala yake wanahitaji cheti cha kuzaliwa, kitambulisho / namba ya nida n.k
Badala ya kujaza maelezo...
TULIA....usifikirie kabisa kuacha kazi, kumbuka ulipotoka, kumbuka msoto uliopitia.
Kisha jaribu kujitathimini, Je ni wapi unakosea mpaka hayo yote yanatokea...!!
Ikiwa huoni ulipokosea kila ukiangalia, basi usiumize sana kichwa, isipokuwa jenga mahusiano bora na Mungu wako.
Labda, huenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.