Recent content by gst

  1. gst

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

    sawa mrs diadomo
  2. gst

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

    baba ivi unaijua maana riddim au unasema tuu,,alafu tofautisha riddim na bongo fleva
  3. gst

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

    hakuna kitu km hicho km ww upo sawa na mziki wa bongo sikiliza beat za majani den uniambie
  4. gst

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

    sisi kucopy sijui tutaacha lini..................hili ni janga la taifa
  5. gst

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

    Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria. Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu.
  6. gst

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Application nzuri ya kuedit picha

    be funky na HDR PRO
  7. gst

    JamiiForums Tanzania mwenye join instruction za mataka secondary anisaidie

    ndugu zangu naombeni aliyechaguliwa hii shule na km unayo join naomba unitumie
  8. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    join instraction ya mataka secondary anisaidie jamani
  9. gst

    JamiiForums Tanzania "Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

    koma weeeee na mtaje anayeishi kwenye nyumba ya kupanga
  10. gst

    JamiiForums Tanzania anayeijua mataka sec na aliyechaguliwa

    jamani km unaijua au ulisoma hapo nipe ma infooo na km umechaguliwa ni check
  11. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    mataka secondary aliyechaguliwa na anayeijua
  12. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    hkl na egm
  13. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    kaka nataka kutafuta shule nyingine sasa kuna mtu kasema hamia songea boys sasa na yeye hajui km songea boyz wanachukua michepuo ipo ninja
  14. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    sawa kipemba
  15. gst

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    kwani hujaelewa kaka
Back
Top Bottom