Recent content by Gsimba

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndiyo maana Mkulu huwa anawapigiaga simu Clouds na kuwapongeza

    Kwa hapo bado cjaelewa anakwepaje kulipa kodi kwan kwa nijuavyo mimi mnaada unafanyika then pesa inayopatikana kwanza inalipwa ya gharama ya uendeshaji mnada pili gharama ya utunzaji mzigo na tatu ni kiasi cha kodi kilichokuwa kinapaswa kulipa na mwisho kias kinachobaki anapatiwa Mwenye mzigo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiondoe kwenye hili la kuhujumu Mameya wa upinzani

    Miradi ya msaada huwa haitozwi kodi may be kama awamu hii imefanya amendment ktk sheria husika hapo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hii 10% inayotakiwa kukatwa kwenye miamala ya kutoa pesa kutumia simu, naomba nieleweshwe

    Yaan kwa mfano ni ukitoa million unakatwa 7500 basi serikali wanakta 10% kutoka ktk hiyo 7500 na si vinginevyo kwan ni kit ambacho hakiwezekan kabisa wakate 10% ya 1 million ...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Asante mkuuu nashukur saaana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Msaada plz wadau niangalizie S.0341/0411
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Nakuonea Huruma unaeisaport ccm kwan huna huruma kwa walala hoi ambao leo hii wanashindwa kupata huduma km za hospitali wao wanaenda tibiwa India na America
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Hajui kama hiyo ni kodi yake na haki yake kutimiziwa ..
  8. G

    JamiiForums Tanzania Shule bora za Serikali, enzi hizo

    Enzi hizo mpaka ikawa inaitwa Rungwe the Champion ...umeanzaje kuiachaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Speech ya Magufuli

  10. G

    JamiiForums Tanzania Ardhi kwa kujenga nyumba inauzwa mbezi ya kimala

    Eneo la shamba la kujenga nyumba linauzwa lenye ukubwa wa mita za square 20 kwa 20..lipo mbezi kwa msuguri mtaa wa Saranga.. Phone No:0757 743712
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ardhi kwa kujenga nyumba inauzwa mbezi ya kimala

    Eneo la shamba la kujenga nyumba linauzwa lenye ukubwa wa mita za square 20 kwa 20..lipo mbezi kwa msuguri mtaa wa Saranga.. Phone No:0757 743712
  12. G

    JamiiForums Tanzania Simu inauzwa

    Ukigoogle utaiona na properties zake zote
  13. G

    JamiiForums Tanzania Simu inauzwa

    Ni original.......
  14. G

    JamiiForums Tanzania Simu inauzwa

    Bei ni 700 thousands na vifaa vyake vyote vipo Hata box zake.... Pia ipo na simu nyingine Htc chacha Bei 230 thousands only
Back
Top Bottom