Recent content by Gru

  1. Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

    .....na si mayai
  2. Gru

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

    Wanauchumi mnisaidie,kwani akiba ya dhahabu ikizidi kuna ubaya?!
  3. Gru

    JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    ❤️VALENTINE'S DAY SPECIAL❤️. Tumewaletea packages special kwa ajili ya uwapendao. Package hii inakuwa na: 📌Saa 📌Bracelet 📌Hereni na Cheni 📌Maua Bei ni 65000/- tu. Mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa, malipo ni baada ya kupokea mzigo.
  4. Gru

    JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    Hizo za Casio bei yake ni 45000/- full box. Rolex hizo zilizoko mbili bei yake ni 60000/-. Pia hizo Patek bei yake nazo ni 45000/-. Karibu boss. Tunatuma mikoa yote kwa gharama za mteja. Malipo ni baada ya kupokea mzigo!
  5. Gru

    JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    Hapana mkuu, utakayoichagua bei nakutajia hapa hapa. Ni vile zinatofautiana tofautiana bei. Karibu boss!!
  6. Gru

    JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  7. Gru

    JamiiForums Tanzania Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Natengeneza na kuuza dawa za kusafishia uchafu vyooni, masink ya kunawia na tiles.
  8. Gru

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa?

    Pia mkumbushe awe makini kwenye kulangua tumbaku kudhulumiwa ni nje nje na hakuna pa kumpeleka aliekudhulumu mtamalizana kimtaani mtaani tu. Lakini pia wakulima nao siku hizi wamejanjaruka mwaka jana "soko huria" kama sikosei kilo ilifika hadi 3500-4000 kwa grade za juu (L10F,L10,M10 etc) hapo...
  9. Gru

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Baba yake alituimbia "Acha waisome namba eeh...."
  10. Gru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Kwani wana wasiwasi wa nini si wanasema watashinda kwa kishindo?? Wamuachie btw hawashiriki uchaguzi so sioni sababu ya kuhangaika naye ikiwa wana uhakika wa kushinda!!
  11. Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Dogo anatoka kama steringi porini
  12. Gru

    JamiiForums Tanzania Ulikutana na kituko gani ugenini

    Nilienda kwa ndugu yangu alikuwa amesafiri nikawa naishi na mkewe na wanawe, nilikaa almost wiki nzima sipuu na hata nipoanza kupuu ilikuwa kama cha mbuzi kidogo tu na chooni naingia kwa kuvizia.
  13. Gru

    JamiiForums Tanzania Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

    Nilikuta mahali jamaa wanasimuliana mshkaji anaitwa Ally jina la kati Shanto la mwisho ni mpare Mbaga. Utamalizia mwenyewe lilikuwa linasomwaje
  14. Gru

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Hiyo St Judy hapo juu haujaiona eeh😁😁 Wembe ni ule ule
Back
Top Bottom