Asante . Nattafuta mshirika wa kuanzisha na kuendeleza mradi pamoja. Nilipendelea mtu wa Mwanza kutokana na changamoto yangu ya gharama za intaneti, lakini niko tayari kujadiliana kuhusu ushirikiano wa mbali.
Habari . Natafuta mtu mwenye ujuzi wa programming aliyepo Mwanza kwa ajili ya kushirikiana kutengeneza software na kugawana mapato. Nina miradi niliyoifanyia kazi na nataka tushirikiane kuendeleza miradi yenye fursa za kibiashara.
Email yangu glutlusosgiants@gmail.com
Vipi umepata handle ya target process na base address Kisha ukafanya ntreadvirtualmemory
Na number of bytes to read ni 50 Kisha buffer yako ika jazwa data unayo hitaji vipi ukijaribu kusoma hiyo buffer zaidi ya byte 50,Nini kitatokea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.