Recent content by gromyko

  1. G

    Morogoro: Zaidi ya Wanafunzi 10,000 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Pia kuna kundi jingine la watoto wanaosoma private schools ambao huchaguliwa shule za Kayumba.Hawa nao huwa hawaripoti katika shule husika badala yake huendelea na private secondary schools.
  2. G

    Kuna siri gani ya mume kutangulia kufa?

    Wanabodi napenda kuanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutufikisha siku ya leo. Pili nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli Laigwanan Edward Ngoyayi Lowasa kilichotokea tarehe 10/02/2024.Pia nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha ghafla...
  3. G

    Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

    54 hata 60 sio umri wa akili kupungua kwanza ndio umri wa hekima kubwa,marais wengi hata huko ulaya wanaangukia kwenye umri huo.Hawa wanandoa Wana matatizo ya kisailolojia.
  4. G

    Katibu Mkuu anayekifaa CCM ni aliyekitumikia TANU kwa wadhifa andamizi

    Wenye sifa hiyo wanaanzia minimum age ya 70+
  5. G

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    Mimi huwa nashindwa kuwaelewa watu huenda ni tatizo langu pekee maana Nchimbi anashambuliwa kwa kuwa alijitokeza hadharani kupinga mchakato wa kuteua mgombea urais 2015 yeye akiwa timu Lowasa.Kwangu mimi inaonesha jinsi alivyo na msimamo na asiyeyumbishwa kwa kile anachokiamini.CCM ndio...
  6. G

    PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Hiki cheo naona ni mahsusi kwa watu wa kusini na nyanda za juu kusini,Iringa ikiwa kinara.Hebu angalia orodha hii:- 1.Rashid M Kawawa - Ruvuma 2. Horace Kolimba - Iringa 3. Philip Mangula - Iringa 4. Daniel Chongolo - Iringa 5. John Nchimbi - Ruvuma
  7. G

    Ukiwatoa TEC na Lutheran, taasisi zingine za dini mambo ya kijamii hayawahusu kabisa!

    Huenda nao hawajamuelewa baba mtakatifu.Na wanaweza kuitwa Vatican na kupewa elimu ya kutosha ili kuhakikisha kundi la mashoga nao wanapewa nafasi ya mali zao kubarikiwa.
  8. G

    Ukiwatoa TEC na Lutheran, taasisi zingine za dini mambo ya kijamii hayawahusu kabisa!

    Ni kweli kabisa haya madhehebu mengine hayajielewi kabisa.RC na Lutheran ndio dini zenye wasomi waliobobea na falme zote za Dunia zinawatambua Wanatoa huduma za jamii kama Afya,Elimu na malezi kwa watoto yatima na makundi maalum.Kutokana na shughuli hizi zinazogusa maisha ya watu na hasa...
  9. G

    Freeman Mbowe amepooza sana katika siasa, makali yake yameisha?

    Kasri lote lile lililojengwa Machame anapaswa kupumzika.Hata hivyo amepambana mno hata kuufikisha upinzani katika hatua hii ya uelewa.Nadhani ni wakati muafaka awaamini vijana waendeleze Mapambano.Maana hata yeye aliyaanza akiwa kijana ndio maana legacy yake ni kubwa.Ni kiongozi mwenye alama...
  10. G

    50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

    Ni kweli tangu enzi za sodoma na hali za maisha zilifikia ustaarabu wa sasa na matokeo lazima yafanane.Biblia inasema hivyo katika Luka 17
  11. G

    50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

    Hizi speculations ndizo zinaweza kuleta critical analysis ambayo ndani yake jamii au mtu mmoja mmoja anaweza kuapply.
  12. G

    50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

    Maisha ya mwanadamu kiasili ni utashi ambao Mungu ameuweka katika nafsi za Kila mmoja wetu pamoja na viumbe hai wote. Hali hii inajumuisha mifumo ya utawala na uongozi kupitika mila na desturi za jamii husika kulingana na mazingira yake. Mwanadamu ameumbwa kwa jinsi(sex) mbili kuu ambazo ni...
Back
Top Bottom