Recent content by Gridard mwenda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    kwa kweli inaleta raha sana. Tafadhali usiache kuleta unono hivi punde.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya M-pesa

    Vipi bado unayo hadi sasa leo tarehe 01/04/2014?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya maeneo ya Mikese, yahusisha Lori, Basi la ABC, Abood na DCM

    Na hivyo ndiyo inavyotakiwa, ikiwa hujaelewa ni vema ukauliza ili wakuzuze zaidi na kama habari iliyopo unaona ipo tofauti na uelewavyo wewe, basi tumia lugha nzuri kwa kuufafanua ukweli wa habari. Letu ni moja tu, kupashana habari. Tujenge dhana ya kuheshimiana, lugha mbovu si utamaduni wetu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya maeneo ya Mikese, yahusisha Lori, Basi la ABC, Abood na DCM

    Mmekuwa watu muhimu kwa kutupasha habari, tunachoomba ni uhakika wa habari hizo. Wenzenu roho zinauma. Asante!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    ahahahahaaaa... Ni sahihi ndugu, kuwa Kikwete ana orodha lakini na jina la mwanaye limo pia na ndiyo sababu hawezi kuyashughulikia.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hamu ya kuolewa,mwanaume unayetaka kuoa zingatia

    Ni kuhakikisha kila mmoja hawi mzigo kwa mwenzie.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mizuka mingine jamani..!!

    Duh, inaonyesha ana macho magonjwa, japo hakuyaona maandishi lakini, pen, office glue, ruler nk vingemshitua.
Back
Top Bottom