Recent content by Grey06

  1. G

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Pixel 5A inamistari miwili ya kijani na betri ilikufa nikabadilisha.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Sio nchini tu Afrika nzima, Mtoto wa museven alifungia vyombo vyake vya habari na alisema kua havitafunguliwa kamwe jamaa alisafiri na mtoto wake kwenda kuonana na mkuu wa majeshi kilichofuata ni historia.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    Kunahaja ya jeshi la polisi kuongeza matumizi ya akili kuliko nguvu, mwizi hana silaha kwanini auwawe?? Matumizi mabaya ya risasi hayo.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Mchungaji tunaomba uweke picha kuthibitisha hoja zako, Amen.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Magori ni kama Heche tu,baada ya uongozi wake kuziba upigaji na mianya utopolo kuifunga Simba

    Wanao mbwekea Magori ni mbwa wenye njaa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

    Walivyo karibishwa jikoni wakaanza kudokoa ubwabwa:p
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yerricko Nyerere kutimuliwa CHAUMMA

    Chadema kumbe ilifuga vibaka wengi kwa mda mrefu.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Kingine mkuu wanawake walevi tunadeal nao bar sio nyumbani shika hiyo.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Pole sana kwa changamoto hiyo mkuu, ni kitu kigumu sana kuwa na mwanamke mlevi kuzidi wewe au kuishi na mwanamke mlevi ilihali wewe si mlevi chakufanya mweleze kwa upole na upendo aachane na ulevi kwa afya ya malezi ya watoto ikishindikana mtafitie msaidizi awe bi mkubwa.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Responded Diamond Platnumz amjibu memba wa JamiiForums, amwambia "Mkataba wangu na Warner ni Sh Bilioni 13"

    Kama kweli alikataa $250,000 ni kweli anafahamu value yake.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    Mbona kimuonekana hafanani na kesi yake alafu bado kijana huoni tutapoteza nguvu kazi ya taifa.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    Kwanini umuombee kunyongwa mkuu???
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    Alikutapeli nini mkuu unaweza kutueleza??
Back
Top Bottom