Recent content by greuben

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    mbona mwanahalisi, mawio, nipashe, mwananchi yote yanampendelea Lowassa hatusemi? wanunueni wote wenye magazeti labda ndio mtalizika. ila kiboko yenu Tarehe 25 Oct mbwembwe zote zitaisha
  2. G

    JamiiForums Tanzania System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    UDA well said...watu wanaopingana na ukweli mimi sipendei hatakupoteza mda wangu. waache watajua taehe 25
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Nina mashaka makubwa na huyu jamaa anayejiita mabadiliko halafu havaii sare ya chadema inakuwaje hapo jamaani? au ni kweli jamaa kanunua jukwaa chadema. duuh ni swali tu wala msijibu kwa jazba. toa mtazamo wako wala usitukane 25th October 2015 sio mwisho wa maisha.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tukatae kuwa mateja wa siasa

    Kuna wakati mwingine huwa najiuliza nakosa majibu, kwa mtizamo wangu nilidhani watanzania tuwamoja, lakini tuna mfumo wa vyama vingi. Kuwa na vyama vingi hakumaanishi tuchukiane, tutukanane, au tumuone mwingine hafai kwa sababu ya chama chake. Kwani mwisho wa siku sisi tunabaki kuwa wa tz...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    Kutoka mabwege hadi mbumbumbu, jitoweni akili lakini mnahujumu nafsi zenu...nyambafu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Si wasanifu cdm ila huyu jamaa mbowe ni mtaalamu kwa usanii. Hata kwenye msiba analeta siasa duuh
  7. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Tuliletewa kampuni feki ya Richmond na baadae pacha wake DOWANS ambayo imetugalagaza wa TZ mpaka kesho..sasa tunaletewa umoja feki ambao hauna uhalali kisheria tunaladhimishwa tuukubali bila maswali ....lakini tunaletewa mgombea feki tena.......ahadi feki za mchana kweupe...eti kila kitu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Tuliletewa kampuni feki ya Richmond na baadae pacha wake DOWANS ambayo imetugalagaza wa TZ mpaka kesho..sasa tunaletewa umoja feki ambao hauna uhalali kisheria tunaladhimishwa tuukubali bila maswali ....lakini tunaletewa mgombea feki tena.......ahadi feki za mchana kweupe...eti kila kitu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wanawake hiki mlichonipa si mapenzi bali mahaba

    Acha jazba wewe unaona sawa tu au si sawa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wanawake hiki mlichonipa si mapenzi bali mahaba

    Jamani hii dhana ya mheshimiwa Lowasa kusema watanzania wanampa mahaba iko sawa ki maadili iko sahihi au nikuwatukana wa Tanzania? Hasa ukizingatia anayasema haya huku akitoa ahadi ya kumwachia babu Seya aliyesibitishwa mahakani kwa makosa ya ulawiti! Chadema na ukawa kwa ujumula mbona...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    amutoe yeye nani! hizo habari huelezana mateja sio watu wanaojitambua
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii na pesa za CCM

    ni mtizamo wako.....katafute mateja wenzio wakuunge mkono...nyambaaaaafuuuuuuu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wapenda mabadiliko tuwe makini na wachambuzi wanaoeneza propaganda

    kama unaogopa wachambuzi shauri yako utageuzwa geuzwa kama samaki!!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye macho haambiwi tanzama ''ama kweli ukishangaa ya musa utaona ya filauni''

    Watanzania wanatatizo moja tu kubwa.... Njaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Wanasisa nao wa vyamaaaaaaa vya upinzani jaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa!! Soooo cheap to be bought!!!! Halafu wanatuhandaaaaaa na mneno yao wakiwa wameshatia hela mfukoni. Ni vigumu sana kushughurika na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Project proposal writer

    nicheki kwa email hii nitakusaidia. gmbayareal@yahoo.com
Back
Top Bottom