Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

Kila mtu ni mchambuzi wa mambo magumu, hata yale tusiyokuwa na utaalamu nayo! Mugisher eembu njoo hapa nisaidie maana ya wasomi kama ulivyowatumia kwenye 'insha yako'

Hawezi kujua lolote huyo ni mvuvi aliye kimbia shule na kukimbilia visiwa vya kome kuvua dagaa
 
Last edited by a moderator:
wasomi wenyewe waliomkosoa lissu mbona hujawataja? au ndio ule uandishi wenu?
 
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.

Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.

Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.

Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.

Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?

Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

Mtiririko huo wote ulikuwa unamlenga Lowasa mwaka huu mtapata shinikizo la damu kwa ajili ya mtu mmoja Lowasa lowasa Ambaye 25/10/2015 atakuwa rais JMT
 
lissu ni incredible advocate....siku zote inajulikana ivoo....
 
Kila mtu ni mchambuzi wa mambo magumu, hata yale tusiyokuwa na utaalamu nayo! Mugisher eembu njoo hapa nisaidie maana ya wasomi kama ulivyowatumia kwenye 'insha yako'
Horseshoe Arch siwezi kueleweka kwako hata siku moja kwasababu wewe umependa kupita kiasi. Kwa hiyo, lolote nitakaloandika kinyume na imani yako ya kisiasa ni 'upuuzi'. Mimi nimukubali hilo. Kwa wewe tu kusoma na kupost comment yako kwangu mimi inatosha, sina haja ya kuwa mchambuzi. Ila niliyoaandika yote naweza kuyasimamia. Je wewe unaweza kuyasimamia yale unayoyaamini????
 
Soma tena nilichoandika. Mimi siongei mambo ya Richmond- ndio tatizo lenu mnasoma lakini hamchambui. Mimi nimeongelea misimamo yake na kile anachoamini. Penda kwa kiasi.

Hivi kwa akili yako hujajua kuwa Lisu mbali na kuwa msomi ni mwanasiasa pia! Nadhani tatizo ni uwezo wako wa wa kuchambua ndio umekufanya uandike ulichokiandika
 
Mwanasiasa mwenye usomi wa Lissu hatakiwi awe kigeugeu la sivyo atawekwa kwenye kundi la wakina Mkumba na Tambwe Hiza. Uanasiasa sio kichaka. Standard anayoangaliwa Lissu ni taofauti na wengine. Ndio maana hata bungeni akiongea watu husikiliza kweli. Sijui kama unajua unachooandika au kuargue ndugu yangu. Punguza pombe rafiki yangu.
 
Mugisher,

..Lissu angekuwa hivyo ulivyomuelezea angekuwa ameshahamia CCM miaka mingi iliyopita.

..nakuhakikishia huko TLS kuna wanasheria wengi wangependa kuwa kama Tundu Lissu lakini hawana ujasiri.

..unaposema mtu ni kigeu-geu basi unatakiwa uonyeshe mambo kadhaa ambapo amebadilika kimsimamo.

..sasa huyu Lissu historia yake ktk harakati za kutetea wanyonge zinajulikana kwa miaka zaidi ya 20 sasa hivi.

..unaweza usikubaliane na Tundu Lissu kuhusu kukubali kwake Lowassa ajiunge na CDM. Lakini Lissu ameeleza kwamba amefanya hivyo baada ya Lowassa kujitetea mbele ya kamati kuu ya CDM.

..Je, hivyo sivyo wanasheria wanavyotakiwa kufanya? Je, huoni kwamba Tundu amezingatia misingi ya taaluma yake ya uanasheria ya kusikiliza utetezi na ushahidi unaotolewa na kutoa maamuzi kwa kuzingatia hayo tu?

NB:

..ukiona Tundu Lissu ameshindwa kesi ujue ni kwasababu ya ubovu wa sheria zetu zilizotungwa na wabunge wa chama cha mafisadi ccm. Mfano mzuri hapa ni kesi ya wachimbaji wadogo-wadogo wa Bulyankulu.
 
Wasomi watanzania wamezidi kuonyesha jinsi gani si watu wenyemisimamo bali ni wachumia tumbo. Nikimuangalia Lissu (kama mfano) ambaye alikuwana misimamo imara dhidi ya dhuluma na ufisaditangu wakati ule akifanya kazi za uwakili kwa weledi mkubwa. Lissu kesi zakezote (kama si nyingi) alikuwa akiwatetea wanyonge.

Ingawa watu hawajui hili,pamoja na uzuri wake, Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi. Alipokuwa mwanasiasa Lissu aliendeleana msimamo wake dhabiti dhidi ya ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Wazunguwanasema alikuwa CONSISTENT siku zote. Mara ghafla Lowasa amekuja, sijui ninini Lissu kimemtokea.

Kama mtu ninayemjua binasfi, kati ya watu niliotegemea wangepingahili au kwa manufaa ya chama angekaa kimya au kujiondoa kwa heshima, Lissualikuwa mmoja wapo. Lakini kwa bahati mbaya, yeye hakufanya hivo.

Naheshimumaamuzi yake, lakini swali langu ni maamuzi haya ya kigeugeu, yakubadilikabalidilika yanaleta sura gani kwa wasomi wetu? Namchukulia Lissu kama mfano wawasomi wetu ambao hawana misimamo, hasa kwenye mambo ya msingi.

Kamamwanasiasas msomo hujiwakilishi wewe tu, unawakilisha familia yako, tabakalako, jimbo lako, kabila lako, profession yako n.k. Sasa huyu wakili msomi amejalitumbo lake na AHADI ZA KUWA WAZIRI WA SHERIA. Ndiyooo.. Lissu anategemea iwapoLowassa atashinda (MWENYEZI MUNGU TUEPUSHE NA HILI) basi yeye atakuwa waziri washeria. Je mtu unaweza kuwa mbinafsi kiasi kichi?

Lissu kwa ujumbe huu, nataka nikuambie umeibaka professionyako na ni aibu kwa TLS. Wewe ni mtu mbabaishaji, hueleweki, kigeugeu na zaidi yayote huaaminiki tena. Silaha kubwa ya wakili yoyote ukiacha elimu yake, nilazima awe mtu anayeaminika. Sasa kwa haya aliyofanya Lissu anaaminika tena?

Mhuni tu naye kama wengine ..kakubali kudhalilika na ameharibu CV yake na heshima aliyoijenga kwa mda mrefu katika jamii yetu
 
Hapumbaziki MTU mda wa kang'ata umefika kama lisu na wengine walibweka lkn hawakuacha kuiba sasa no mda wa kung'ata (kuongoza na kudhibiti wizi wa Mali za umma)
 
Nimemdharau sana tundu lissu, kuna uzi uliletwaga humu kuwa Tundu Lissu for presidency na nilikuwa excited kwamba ndiye atayefaa kuleta mabadiliko ya mfumo,nashukuru Loasaa kaja na kutuwezesha kuiona rangi yake ya ukweli!
Hafai kabisa kwa unafiki na uongo na ukurupukaji.
 
Lissu alikuwa hashindi sana kesi, kwa maana nyingine,hakuwa na rekodi nzuri ya kushinda kesi.

embu tupe mifano ya kesi 10 ambazo tundi lissu hakushinda au alishindwa we kichwa nazi
 
Back
Top Bottom