Mwenye macho haambiwi tanzama ''ama kweli ukishangaa ya musa utaona ya filauni''

greuben

Member
Dec 17, 2012
42
4
Watanzania wanatatizo moja tu kubwa.... Njaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

Wanasisa nao wa vyamaaaaaaa vya upinzani jaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa!!

Soooo cheap to be bought!!!! Halafu wanatuhandaaaaaa na mneno yao wakiwa wameshatia hela mfukoni.

Ni vigumu sana kushughurika na watu wenye njaa, kwasababu kwanza ukimuuliza kwanini unamshabikia mgombea fulani hana jibu la maana.

Ni aibu sana tena aibu iliyokisili.

Wantanzania tunatkiwa tujitambue, tuache mkumbo badala yake tuwachugue kwa sifa zao.

Chunga sana maisha yako ni zaidi ya hao wanasiasa.
 
kumbe sawa tu................... njaa inaisha sasa....miaka 50 ya njaa ... sasa ni miaka 100 ya neema
 
Ni kweli na Wewe ni "Filauni" wa kwanza na watakuwa wanakufilauni
 
...tunachotaka sisi kwa sasa ni mabadiliko tu yaani ni kuing'oa CCM na mfumo wake mbovu na kandamizi mambo mengine yataji-set menyewe tu mbele ya safari.

Watu wanashabikia siasa kama wanavyomshabikia Diamond na Alikiba.
 
Watanzania wanatatizo moja tu kubwa.... Njaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

Wanasisa nao wa vyamaaaaaaa vya upinzani jaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa!!

Soooo cheap to be bought!!!! Halafu wanatuhandaaaaaa na mneno yao wakiwa wameshatia hela mfukoni.

Ni vigumu sana kushughurika na watu wenye njaa, kwasababu kwanza ukimuuliza kwanini unamshabikia mgombea fulani hana jibu la maana.

Ni aibu sana tena aibu iliyokisili.

Wantanzania tunatkiwa tujitambue, tuache mkumbo badala yake tuwachugue kwa sifa zao.

Chunga sana maisha yako ni zaidi ya hao wanasiasa.

ungalikuwa umeshiba usingalikuwepo humu jf
 
Back
Top Bottom