Recent content by greta

  1. greta

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda DART

    Hiv hawa dart majina ya waliopata kazi tunayapataje maana hawatumi sms wala hawapigi cm na cjui wanabandika kwa websit yao nako sionagi kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. greta

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda DART

    Ndo ukifika utaambia buju tano kwa xku unasugua guu sa kumi na moja asubuh adi sa kumi jion Sent using Jamii Forums mobile app
  3. greta

    JamiiForums Tanzania Miradi gani ya serikali au binafsi inayoajiri sasa hivi au mwezi huu iwe ni vibaria au ajira rasmi!?

    Na wadada wanaitajika uko Sent using Jamii Forums mobile app
  4. greta

    JamiiForums Tanzania Ajira ya muda 2020 (BVR kit Operator)

    Nenda halmashauri interview ni keo ujifanijiws nicheki Sent using Jamii Forums mobile app
  5. greta

    JamiiForums Tanzania Connection! Unaweza kazi ya ukonda?

    Andika vituo kwenyw karatasi kinachoanza adi cha misho tafuta sare ingia mzigoni
  6. greta

    JamiiForums Tanzania Binti wa Kazi anahitajika

    Bila shaka mshahara apa ni laki tatu
  7. greta

    JamiiForums Tanzania Sales Executive at CarHunt

    Angalizo msije mkaenda kupoteza nauli kwenye interview hawa jamaa wanataka mtu uweze kuuza magari cjui izo machine zao zaid ya matano kwa wiki mbili
  8. greta

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ujuzi katika biashara ya mobile money transfer

    Ko aje na nini na nini uli umuamini
  9. greta

    JamiiForums Tanzania Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

    Nenda pale nyie kuna kipind mlikuwa mnaitajika sana wakikuzingua kumwona hr vizia mfanyakazi muombe namba za mahr au ma boss wao ukiwapigia wanaelew
  10. greta

    JamiiForums Tanzania Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

    Na ukifika getini tafuta uongo wowote adi uruhusiwe kumwona hr ukisema umeleta cv cjui ntaka nikbabidh hr walinz wanagoma wanaid hr hayupo wanakwambia acha cv itafika andika na namba zako za cm ukiacha tyu apo cv getn imekula wako
  11. greta

    JamiiForums Tanzania Ajira: Mwika Milk Company

    Hao wateja wapo tayari ni kuwapelekea tyu au ndo kubeba maziwa na kuanza kutafuta mwenyewe wateja na mda wa kazi ni sangap adi sa ngapi???
  12. greta

    JamiiForums Tanzania Nursing in diploma natafuta tempo

    Nenda ma hospitalin peleka barua za maombi uku jf uwez kupata labda kama umesoma vyo vya uchochoron
  13. greta

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu nafasi za kazi MUDA , zilizotangazwa na temesa hapo feri , mwezi huu wa 9/2019 .

    Ndugu toa taarifa kamili jinsi ya kuomba na mambo mengne
  14. greta

    JamiiForums Tanzania Naomba nijulishe shule za private zinazopatikana ndani ya Mbeya

    Peleka samartan, mbalizi secondary au st mary ya seminary iko mbalizi lazma watakuchukua
  15. greta

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninaomba ajira ya saluni ya kike Dar au Tanga

    Fungua ty saloon ndugu
Back
Top Bottom