Recent content by greogory

  1. greogory

    JamiiForums Tanzania Kurasini: Rais Magufuli azindua Mfumo wa Hati ya Kusafiria wa Kielektroniki. Atoa bilioni 10 kujenga Jengo la Uhamiaji

    Hata Kama mtu una passport ya zamani unahitaji kitambulisho cha uraia kupata mpya?limeongelewa la wait waishio nje pia?wao watapataje kurenew au wao pia watahitaji kitambulisho cha uraia?asante
  2. greogory

    JamiiForums Tanzania Nimemrudisha mke na mtoto ukweni baada ya kukosa kazi kwa miezi 3

    inabidi umchunguze sana,maana kama atakuwa na mihemko hiyo maana yake ataendelea kugawa nje ,itabidi uchague kumridhisha wewe au kuachana na ndoa hiyo kama hupendi huo mchezo,swala zito sana mkuu sijaona pm mkuu ila nimechukua namba tayari ,kijana atakupigia soon usijali..matatizo ni yetu...
  3. greogory

    JamiiForums Tanzania Nimemrudisha mke na mtoto ukweni baada ya kukosa kazi kwa miezi 3

    ni pm namba yako mkuu nikuwezeshe mwezi huu,hizo ni changamoto ,usichoke kupambana .
  4. greogory

    JamiiForums Tanzania AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

    kijana ni level zingine wakuu..seriously
  5. greogory

    JamiiForums Tanzania Nasafisha sinks za choo, tiles bathroom, tiles toilet etc

    Mungu akuongoze mkuu.
  6. greogory

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji nguli Bagamoyo

    Mungu ndie mganga mkuu wa peekee na uhakika
  7. greogory

    JamiiForums Tanzania INTELIJENSIA: Ziara ya Waziri Mkuu Bandarini

    kazi sio rahisi kama tunavodhani.
  8. greogory

    JamiiForums Tanzania Nilitishiwa maisha na rafiki yangu kisa mwanamke

    pole sana
Back
Top Bottom