Shirika lishajichokea, Unasimama kituoni masaa mawili unasubiri gari na hapo bado linapita limejaa. Serikali leteni private investors wasaidiane na Dart. Wananchi tunateseka Dart wameshindwa kazi
Pole sana. Hao wanataka hela tu tafuta ofisa mmoja hapo uhamiaji jenga mazoea nae muelezee scenario ukimaliza kupiga ne story muachie Hela ya asante ili kuujenga ushkaji.
Mbona atakupambania na jambo lako pia inabidi ulitolee mpunga mwingine ili alifanikishe. Ndani ya Wiki mbili utapata.
Madilu system napenda nyimbo zake. Nlikuwa Kenya wanabar zinazopiga Rhumba tu, Yani ndo zilifanya nikapenda mziki wa Rhumba hasa nyimbo za Madilu Maana hauna fujo.
Yani clouds wanazidi kujishusha na content zao zisizoelewa. Habari zao nowdays hazina tofauti na online media zilizoibuka kama Uyoga. Ruge kafa na hadhi ya kituo chali
Mimi mwanangu anasumbuliwa na kifua tangu akiwa na miezi 6 saivi anaenda miaka minne. Katumia Kila aina ya dawa nimezunguka mahospital kuona madaktari wa watoto Hadi basi.
Anatumia dawa baada ya mwezi kinarudi anakohoa hatari, Antibiotics katumia Hadi basi sometimes kinazidi tunalazwa inabidi...
Habari zenu wakuu,
Wanasemaga muziki ni food to the soul, na Mziki pia ni universal language kwamba unaweza usielewe lugha ya kinachoimbwa lakini nyimbo ikakugusa sana.
Binafsi Kuna nyimbo imewahi Sana kugusa maisha yangu, Yani Kila wakati nikiisikia naona iligusa maisha yangu.
Kuna kipindi...
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa. Wakenya hawawapi nafasi wasanii wao wanaoimba RnB dizain ya kina Otile, wao wanapendelea genge tone. Lakini Cha ajabu bongo flava wanaipenda na wanaipa nafasi Sana kushinda local artists
Habari zenu wakuu,
Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema ukweli waliua.
Yani nyimbo tamu hata Ukiwa single unatamani kufall in Love, Verse na sauti zao ndo...
Kumbe ndo michezo hiyo. Me kabla sijameza dawa naigoogle naisoma weee, source tofauti tofauti na compare details. Nikiona haiendani na ugonjwa wangu simezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.