Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,558
Habari zenu wakuu,
Wale waliowahi kutapeliwa au kupoteza Viwanja au nyumba hebu Leteni uzoefu nini kilitokea wengine wapate kujifunza.
Mimi binafsi nlinunua kiwanja, Kinondoni Magwepande kumbe Hilo eneo lilikuwa na migogoro na Serikali. Nilisikia fununu nikajaribu kuuliza wakazi lakini wakakataa. So nikajipa moyo labda Ni habari za kusadikika.
Juzi kati pamekuja kuvunjwa, watu wanalia hasara. Wamepeleka kesi mahakamani lakini sioni Kama kuna kushinda maana Serikali inaendelea kupima eneo, wanasema anayetaka labda auziwe.
Mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae amehojiwa anasema eneo lina migogoro tangu mwaka 2002 lakini yeye ndo alikuwa anatoa document za kuuza eneo na percent yake anachukua.
Mliopitia hayo hebu Leteni elimu wengine wajifunze. Mimi ilikuwa kiwanja tu lakini nimeumia, wengine walijenga mijengo na kuhamia kabisa nikiwawazia sijui maumivu yao yakoje.