Recent content by Gregoddy

  1. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Binafsi tangu nimeanza kuufuatilia huu uzi sijawahi kuona train inatoka Dar hadi kigoma kabla haijapata ajari na nimekuwa nikijitaidi sana kuunga tera(trail) kwenye tren nyingi tu,kama ukikaa ukasubiri train ligote mwisho wa reli utaumia kila siku,haya matreni ni ya kuvizia tu limepunguza mwendo...
  2. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    7DCC199 BETPAWA haina haja ya kuedit na ikianza imeanza haina kuchimba dawa kama ndege tu yani utachimba dawa humohumo
  3. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ..
  4. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ..
  5. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hayaa
  6. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Na tupo tu
  7. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ...
  8. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Magufuli alikuwa Katili au Vyama vya Upinzani ndio dhaifu? Mbona Kinana, Membe, Makamba na Sophia Simba wanadunda tu!

    Watanzania hawaachi kusema, yule Fisadi, huyo Katili mara anatutesa na huyu anaupiga mwingi kinafiki. Huwezi kuongoza nchi ya mamilioni ya watu na ukategemea kumuimpress kila mmoja ifike mahali tukubaliane tu hii ndo nchi yetu hatuna pa kwenda zaidi, tutaibiwa, tutakopa hii mikopo ya kausha...
  9. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto likiisha itachukua muda Fei kurudi kwenye kiwango chake

    Sidhani kama Fei alijichukulia maamuzi,wanaomrubuni yule kijana nafikiri ndo wanaharibu career yake,hata ile kauri ya kwamba Fei hana tena mapenzi na Yanga ni kumfunga ili hata ikitokea akahitaji kurudi Yanga basi shabiki wasiwe na imani Naye tena..katika maisha chunga sana watu unaowaweka...
  10. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halftime/Full time results Ni kwamba ukibet Home/draw inatakiwa mpaka kipindi cha kwanza kinaisha iwe inaongoza timu ya nyumbani ila full time wamalize game ikiwa draw Ni simple tu kuelewa hiyo option Kiufupi unakuwa umebet matokeo ya halftime na yale ya fulltime
  11. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Hiv Magufuli huwa anakunywa bia?

    Yule mpelekee maziwa anapenda sana bia labda Waziri
  12. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Spider kid
  13. Gregoddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I can't believe kanipa mwanaye baada ya kumfikisha Kibo Mawenzi

    Dunia ipo kasi hatari
  14. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa watangazaji wa ITV

    Tunaotaka kumtukana huyu jamaa tucomment wap jaman
  15. Gregoddy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jamani Mchungaji

    Naongeza kura kwenye simulizi ya MIKONONI MWA NUNDA
Back
Top Bottom