Recent content by GreenStone

  1. GreenStone

    Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Mwenezi ana uwezo wa kufanya maamuzi bila woga, Mtu huyu ni muhimu sana!
  2. GreenStone

    Mbunge Kishimba: Viongozi Tumieni Maji ya Miradi Mnayozindua Badala ya Maji Ya Chupa Ili Wananchi Wawe na Imani Nayo

    ukiwa Tajiri raha sana, unakuwa na ujasiri wa kuongea mawazo binafsi, kama huyu jamaa! Ukiwa mbunge mwenye njaa huwezi kutoa challenge kama hizi Big up Kishimba
  3. GreenStone

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Kwahiyo kumbe tumepigwa sana, mpaka kwenye Imani!!!
  4. GreenStone

    Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    Hatuna sababu ya kukipigia kura CCM mwaka 2025, Kama wanadriki kumsaliti na kumpiga vijembe mzalendo, Kwanini tuendeleee kuwaamini!
  5. GreenStone

    CCM inakufa mikononi mwa Kikwete, utabiri unatimia

    Wanasema ccm Ina wenyewe, 2025 tunaachiwa hao wenyewe Wajipigie kura wenyewe!
  6. GreenStone

    Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    You cant strengthen the weak by weakening the strong!
  7. GreenStone

    Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

    Hata mimi Niko mbioni kufukuzia PhD yangu
  8. GreenStone

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Eeh hapo maisha yalikuwa matamu sana!
  9. GreenStone

    Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Mimi ilinikuta, muhudumu wa hotel alinionesha dharau, Nikamchunia siku hiyo, nikapanga kukipiza, Nikamtongoza na nikahakikisha amedata nami nikala mzigo halafu nikapiga chini! Na nikamchana ukweli, nilikuwa nakuonyesha mie ni zaidi yako! Mpaka leo mnyonge!
  10. GreenStone

    Hoja ya Polepole na hoja ya Gwajima juu ya chanjo ya Covid-19

    Kuhusu chanjo, Gwajboy anauoigwa mwingi, Na serikali ya ccm isibinye Uhuru wa kujieleza kuhusiana na Jambo hili!
Back
Top Bottom