Recent content by Greencity07

  1. Greencity07

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Alilazwa cku nyingi halafu afe kwa typhoid ![emoji15]
  2. Greencity07

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Si uende hospital ukapandikizwe, kwa baba asiyejulikana. Vinginevyo mtoto ni damu ya mtu atakusumbua tuu juu ya mwanawe.
  3. Greencity07

    Kulazimisha upimaji wa Tezi dume DSM ni udhalilishaji uliovuka mipaka

    Habari ya upimaji wa tezi dume imeshitua mioyo na akili za wanaume wa dar es salaam kiasi kwamba miongoni mwetu wanatamani kulikimbia jiji. Wengine wameisha kata tamaa ya kuishi uraiani na kuamua kujiandaa kuishi gerezani. Naomba nitoe rai kwa wanaume wenzangu kuwa hatuna haja ya KUOGOPA. 1...
  4. Greencity07

    Msaada: Kwa mwenye ufahamu kuhusu tatizo hili

    Kula vzuri, fanya mazoezi, pumzika muda wa kutosha, punguza stress. Mambo yatakuwa super.
  5. Greencity07

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    miss zomboko, Acha kutuibia, hivi vijiko kumi vya sukari unavijua kweli. Zungumza maana yenye logic. Weka vijiko 10 vya sukari kwenye kikombe cha chai alafu uone kama itanyweka hiyo chai. Swala la kuongezeka uzito sina uhakika wa kuongezeka kasababu mimi ni miongoni mwa watumiaji wakubwa wa...
  6. Greencity07

    Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi baada ya Jeshi la Polisi kushindwa kubaini mhusika wa mauaji

    Lakini si kilisababishwa na wakina mbowe i.e viongozi wa chadema ! Sasa limefungwa kivipi ?
  7. Greencity07

    Rais wa Msumbiji ni Kiongozi, tazama video hii, utofautishe na Mtawala

    Masolex ajifunze toka msumbiji, usibaki kutishia raia. Tupe maelezo ya matumizi ya tsh 1.5 tilion.
  8. Greencity07

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Sasa anahaha anataka kufungia watsapp na google, je hii ni sehemu ya maendeleo? Jamaa anataka kuua maebdeleo ya teknolojia.
  9. Greencity07

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Vipi kuhusu shs. Tilion 1.5, huu ni wizi ulio vunja record ya zaidi ya millenium mbili. Unasema kakomesha upendeleo, vp kuhusu bomoa bomoa ya Dar iwe halali kwasababu hawakumpigia kura halafu mwanza walimpa kura nyingi wasiwabomolewe ? je vp kuhusu wasifu wa paul makonda ninamaana vyeti vyake...
  10. Greencity07

    Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

    Polepole kaijibu kwa majibu mepesi tena kipumbavu
  11. Greencity07

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Pato la ndani la taifa limeongezeka, matumizi yake na maendeleo yake yakowapi. Thamani ya shiringi inazidi kuporomoka yupo wapi mwokozi wake ? Je kaudhibiti namna gani mfumuko wa bei ? au kwa mtoa maoni anapoitwa mchochezi ndio uzalendo halisi?
  12. Greencity07

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Mbona umeshindwa kuainisha matumizi ya zaidi ya Tshs. trilion 1.5 ( zaidi ya Tshs. bilion 1500). Tueleze zimetumikaje. Milion 50 Tshs. Kwa kila kijiji zimefikia wapi ? Huduma bora maslai zaidi. Motisha kwa wafanyakazi zipo wapi. Vyeti feki na malipo yasiyostahili kufuatana na elimu mbona...
  13. Greencity07

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Lakini umesahau kuainisha Tsh. Trillion 1.5(bilion 1500) zimetumikaje.
Back
Top Bottom