Recent content by GreenCity

  1. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

    😂😢
  2. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    Mtoa mada uko sahihi!
  3. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Selasini hata Rudi yake ipo kimzaha mzaha! Hawa watu wasipewe majukumu nyeti ya chama cha Chadema bila uangalizi wa kina.
  4. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

    Basi jua tu, US kumzuia huyo Afisa sio kwa lengo la kuisaidia Tanzania, lakini serikali ya Tanzania inaweza ona umuhimu wa investigation dhidi ya mhusika ili kulinda diplomatic relationship!
  5. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

    Kupiga music mkuuubwa kwenye nyumba ya kupanga watu wengi NA PIA kupanga vyumba vinavyoangaliana zote ni dalili za umaskini!
  6. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

    Ni nchi gani tutegemee itasaidia chochote mkuu!
  7. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Kuamsha mtoto saa 11.00 alfajiri kwenda shule ni ujinga na kutojali afya ya mtoto wako

    That's me! Nishapigana sana hii vita! I thank God!
  8. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Kuamini ndoa ni Mpaka ifungwe kanisani au Msikitini ni dalili ya utumwa na uelewa mdogo kwa watu

    Kwa mtazamo huo, basi jua hata hizo punda na farasi ni mifumo iliyowekwa. Naunga mkono hoja ya mleta mada!
  9. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Fundi Huyu wa TANESCO kimfikie Rais Samia Suluhu Hassan

    Nchi inaendeshwa na utashi binafsi wa kiongozi badala ya sheria! Kila mtu mmoja mmoja amfikie rais😳
  10. GreenCity

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wenye dharau barabara ya Mbeya - Tunduma

    Uko sahihi, wahusika wajitafakari!
  11. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Watu wa pwani na matusi ni mgonjwa wa macho na miwani.

    Umeandika ukweli mtupu!
  12. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    Angekuwa na walau 5% ya huu uhalisia, angeachana na mtazamo wa kisifia uchumi wa China kibiashara!
  13. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    China ni mzigo kwa nchi za Africa!
  14. GreenCity

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mawakili wanaridhishwa na uongozi wa sasa wa TLS basi Kuna shida kubwa, nawashauri nendeni tena shule

    Mwenzio kaongea kwa hoja, wewe unakuja na shida zako personal kwenye jina! CCM inaharibu sana uwezo wa vijana kujadili kwa hoja!
Back
Top Bottom