Recent content by greater than

  1. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Swali la Msingi 1.Je,inaruhusiwa kisheria...? 2 Je,ni sawa kitaaluma Kuna shule zipo hivyo ,ukichunguza shule ipo ndani ya eneo la Taasisi mf.Shule ya msingi Mbuyuni. Eneo ni la Kanisa Katoliki Sehemu moja kukosea na kufumbiwa macho,haihalalishi jambo halam...
  2. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    🤣🤣🤣
  3. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Kwanza inamega eneo la shule ambalo lingekuwa na matumizi... Pili inakaribisha shughuli zenye kubugudhi upatikanaji wa taaluma Tatu inaweza ondoa umakini wa walimu kwenye kufundisha pale panapokuwa na mzozo wa kifedha za kodi za Fremu
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Hapo unazungumzia Lugalo na Gongo la Mboto
  5. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Huo msemo wa "Acha kila mtu ale kwako,ndiyo unaharibu taifa"
  6. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka.... Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni. 1. Je,hili suala ni linaruhusiwa... 2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake...
  7. greater than

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa haya mashimo ya Choo ni bora?, tuambizane tusije kujichanganya

    Biodigester ni kwa ajili ya kuchakata kinyesi na kufanya kisiaje tu... Lakini ishu ya maji ipo pale pale
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa haya mashimo ya Choo ni bora?, tuambizane tusije kujichanganya

    Factor kubwa ya Choo cha kupoteza maji ardhi ni 1. Kina kutoka usawa wa bahari 2. Umbali / Kina kutoka mwamba mgumu wa kuzuia maji (water table) Sasa wewe unaleta ujenzi wa mazoea na stori za Mzee wako.... Ardhi hazifanani.... In short : Hivyo vyoo ni vizuri kama eneo lina height from sea...
  9. greater than

    JamiiForums Tanzania Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

    Uwepo wa Myerere NP,Mapori ya akiba na mito mikubwa , Imefanya wilaya zake ziwe mbali mbali sana....
  10. greater than

    JamiiForums Tanzania Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

    Chanika ni Dar,,,na hakuna ardhi kwa bei hiyo... Labda kama unazungumzia Kisarawe
  11. greater than

    JamiiForums Tanzania Je, Mtanzania anaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?

    KCB na Equity Bank ni za Kenya and zina matawi huku
  12. greater than

    JamiiForums Tanzania Samsung ni zaidi ya simu huko Korea Kusini

    Umesema Billion 150 ni zaidi ya mapato ya nchi 150....Yan,jumla ya GDP ya nchi hizo au...?
  13. greater than

    JamiiForums Tanzania DSE 1,2,3 : "Ninunue hisa za kampuni ipi ?"

    "Ninunue hisa za kampuni ipi ?" Hili ni moja ya swali ambalo kila Mwanahisa alishawahi kujiuliza au huwa anajiuliza. Leo nitatoa njia nyepesi ambazo utatumia katika kuchagua kampuni utakayoenda nunua hisa zake NJIA hizo ni 1. Bei ya hisa : Unapofika sokoni,bei huwa ni moja ya kipimo kizuri...
  14. greater than

    JamiiForums Tanzania Je, Mtanzania anaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?

    Fanya tafiti ya Broker mzuri,kampuni gani nzuri ya kuwekeza... Kuna brokers wana tawi mpaka huku Bongo... Lakini pia balozi ya nchi husika wapo kwa ajili ya misaada ya mambo kama hizo
  15. greater than

    JamiiForums Tanzania Yote kuhusu D.S.E: Kampuni zilizotengeneza faida kubwa 2020-2024

    Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni. Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa...
Back
Top Bottom