DSE 1,2,3,- Kampuni zenye kiwango kizuri cha gawio 2020-2024

DSE 1,2,3,- Kampuni zenye kiwango kizuri cha gawio 2020-2024

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,764
Reaction score
3,230
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni kupatiwa sehemu ya faida ambayo kampuni inakuwa imetengeneza kwa mwaka wa fedha husika.
Sehemu hiyo ya faida huitwa ni Gawio,na imekuwa ni moja ya kivutio kikuu cha kufanya wahusika kuweza kuwekeza katika kampuni husika.

Kama unawekeza kwa lengo la kupata gawio basi usiangalie yupi anatoa gawio kubwa bali angalia yupi anatoa Dividend yield kubwa
Dividend yield :
kipimo cha kuangalia je,gawio lako lina ukubwa gani kwa bei ya hisa moja.
yaani,gawio ni asilimia ngapi ya bei ya hisa moja.


Hapo chini nimeweka graphs za kila mwaka zikionesha kiwango cha dividends yields ya kila makampuni mbali mbali kwa kipindi cha kutoka 2020 hadi 2024
2020
1779263753495.png


2021
1779263848561.png


2022
1779263912086.png



2023
1779263941992.png


2024
1779263977615.png
 

Attachments

Back
Top Bottom