Kama mabwawa yakikauka yote nchini manake tutakua gizani milele manake uongozi hauna mkakati wala dira wanaenda tu kama kichwa cha mwendawazimu maana kila mwaka ni mgao mgao hamna mbinu za kuja na mkakati wa kutatua hili watasema VITA ila licha ya VITA wenzetu umeme haukatiki hovyo
Bora tutaamua sisi tuchague Tanesco au kampuni ingine inayotoa huduma bora na wao wataamka na kuacha kufanya kazi kimazoea, kama nanunua unit moja kwa 350 na bado huduma mbovu nikiuziwa na kampuni ingine unit 1 kwa 450 ila umeme wa uhakika sioni hasara
Aiseee unanifumbua macho Kumbe ni mkakati wa kuuza jenereta ila haya mambo hayakuwepo wakati wa Kaleman na Magufuli mgao wa umeme ulikuwa ni historia walipoingia tu huyu waziri ndio tumeanza kuona hili tatizo la mara bwawa limekauka mpaka anachukua ndege kupiga picha....
Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia.
Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
Nini hasa sababu ya Msingi ya Urusi kuvamia nchi Huru Kabisa.
Weka ushabiki pembeni kabisa, usizunguke usinambie kisa anahofia atajiunga NATO yaani kisa cha Mrusi kuanza kuvamia na kulipua miji UKRAINE ni nini Hasa.
Sidhani kama eti anahofia atajiunga NATO ndio iwe sababu ya kuanza kuua watu...
Never Tried That Japo Account ya Payoneer ninayo na kadi ya zamani so far kwa nijuavyo sidhani kama payooner ni Bank Bali ninadhani wale jamaa wana deal na issue za online pekee kuna place paypal ukiwa unajaza utatakiwa weka account namba na kadi namba sasa payoneer zenyewe zina card namba pekee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.