Msaada Kidogo Kielimu Hapa Anayejua Jinsi ya Kutoa Pesa Kutoka Paypal

Mkuu mbona unaumiza kichwa hivo siku hizi line za safaricom zipo kibao tz .buku kumi tu unamiliki line yako ya safaricom.unaunganisha na paypal unajitumia then unatoa kupitia mpesa yako kiroho safi.hapa kwenye cm yangu nineiweka roaming coz naitumia kwa madili yangu ya mtandaoni
Vipi nikutumie i mean account yako sio Registered Tz
 
Mkuu mbona unaumiza kichwa hivo siku hizi line za safaricom zipo kibao tz .buku kumi tu unamiliki line yako ya safaricom.unaunganisha na paypal unajitumia then unatoa kupitia mpesa yako kiroho safi.hapa kwenye cm yangu nineiweka roaming coz naitumia kwa madili yangu ya mtandaoni
Thanks boss
 
Buy Bitcoins...then sell upate Tsh.
Nahitaji msaada kidogo Kuhusu kutoa pesa au kutuma pesa kutoka paypal Account kutoka Paypal Account (Yangu) Based on UNITED STATES kuja kwenye Bank Account Ya Tanzania so Far kupitia xoom.com au Njia nyingine yeyote

Anyone ako na skills hata nje na hii xoom.com Msaada hapo pesa iko tayari Ishalipwa Kwenye Paypal Account ambayo ni based in UNITED STATES.

Nafahamu Tanzania BOT bado Hawaruhusu kupokea pesa Via Paypal ila naambiwa kuna Namna watu hufanya na hutumiana hela na wanapokea.View attachment 1391716

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never Tried That Japo Account ya Payoneer ninayo na kadi ya zamani so far kwa nijuavyo sidhani kama payooner ni Bank Bali ninadhani wale jamaa wana deal na issue za online pekee kuna place paypal ukiwa unajaza utatakiwa weka account namba na kadi namba sasa payoneer zenyewe zina card namba pekee
 
Naona kama hii ndio njia rahisi, ukitumia localbitcoin it's less than 15min

Sent using Jamii Forums mobile app
Buy Bitcoins...then sell upate Tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua bitcoin na kuuza would be a very very bad move kwa sababu mbili.

1. Kufanya manunuzi ya bitcoin kwa paypal ni risk kubwa sana. Sababu banks na paypal wanakataza kufanya manunuzi na mauzo ya bitcoin kwao, hivyo ikitokea umedhurumiwa huna uwezo wa kulalamika sababu ukionyesha proof ya kuwa unafanya manunuzi ya BTC basi hapo kosa la kwanza. Ni risky zaidi kwa muuzaji na hivyo wauzaji ni wachache sana na wanaweka bei kubwa zaidi sababu ya hiyo, na katika kununua wanakwambia uandike unalipia vitu vingine kabisa sio BTC, hivyo yani ni very risky unaweza poteza kila kitu.

2. Bitcoin zinauzwa kwa bei ya juu na kununuliwa kwa bei ya chini. Mfano sasa hivi. LBTC ukiwa na tsh 100,000 unapata 0.005691BTC ukizipeleka hizo kwenye mauzo unapata Tsh 87,000. I also remember kuna charges za transaction juu ya hiyo zipo. Sikumbuki ni kiasi gani ila zitaongezeka juu. These things anatakiwa azijue
 
  • Thanks
Reactions: _ID

You know nothing kuhusu bitcoin.
 
Tuanzie hapa.

Umeshawahi kununua Us dollars au Tsh au any other currency. Na ukatumia Bitcoin kama medium of exchange?
Na hata paypal nimeshafanya transactions pia, hivyo naielewa nayo. Nifahamishe zaidi.
 
Ndio nimeshawahi mkuu.
Nahitaji maelezo ya kama ulikuwa unabuy au ulikuwa unasell fedha za kigeni? Na je kama ulikuwa unabuy au kuuza fedha za kigeni hizo fedha za kigeni ulikuwa unazipokelea au ulikuwa unazitoa kwenye online wallet ipi?(paypal, moneybookers, perfect money e.t.c)
 
Nimefanya vyote, buying and selling. Na wallet niliyokuwa natumia ni paypal.
 
Then.

1. Paypal ndio wallet inayoongoza kuwa na deals nzuri za bitcoin ilifuatiwa na perfect money na skrill.

2. Kama ukishindwa kuitumia phrase hii "Buy low sell high" Bitcoin lazima ikunyonge.

3. Makato niliyowahi kukumbana nayo kwenye bitcoin ni wakati namtumia mtu bitcoin. Na siyo nje ya hapo. Mara zote nilizotumia bitcoin kama medium of exchange sijakumbana na makato yoyote....

Hii ndio experience yangu na the last transaction nimeifanya 2 days ago.
 
Okay, kama hautojali kunielezea. Kwa sasa mkuu anataka kutoa 400$. Ni kiasi gani atapata ukipita vihunzi vyote mpaka kufikia TZS?
 
Back
Top Bottom