Recent content by gReAt tHiNkA

  1. gReAt tHiNkA

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    pole sana:shock:
  2. gReAt tHiNkA

    unataka mtoto wa kiume au wa kike?? soma hapa

    nimekubali mkuu,nimeisoma deep na nikagundua mavazi ya ndani kama boxer, yanayobana kwa mwanaume si mazuri kwa production ya boy. Ts a useful link. Heko
  3. gReAt tHiNkA

    tendo la ndoa kwa mama anyonyeshae ni vibaya?

    kuishi kwako marekani mda wote huo hakujatusaidia,acha lawama tupe jibu la sex kwa mnyonyeshaji kama ww umepata elimu sawia
  4. gReAt tHiNkA

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    nimbanyegeza inywena Facebook, twina obumo bwaitu ntubweta BUHAYA ROOT, mwije tufumore,tusheke,tutebye,tujunangane! Search Baba Melvin ndaku-add
  5. gReAt tHiNkA

    Waziri kumkimbia Lowasa CCM

    viongozi wetu hapa tz wengi wao kama si wote ni wanafiki, bado hawataki kutuelewa wananchi tunataka nini na maendeleo gani! Pamoja na unafiki wao, unafiki wa sitta una nafuu kwetu kuliko ule wa Lowassa... Sina shaka sitta ndo anaenda chadema.
  6. gReAt tHiNkA

    Namtafuta marceale mtefunya

    try Marcel Baba Melvin (facebook) or 0782633262
  7. gReAt tHiNkA

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    '..huna budi kuendelea na kazi..' kiswahili kimekupiga chenga mkuu! Yapaswa kuwa '...huna budi kuacha kazi...'
  8. gReAt tHiNkA

    Facebook bhana!

    nimeipenda hii.
  9. gReAt tHiNkA

    Degree za namna hii bado zinaendelea UDSM jamani?

    huu ndo ukweli! Kama unaijua vema nchi yetu hushindwi kuyatabiri ya kesho na ikawa kweli
  10. gReAt tHiNkA

    Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

    Nakuunga mkono mkuu! Mwalimu,polisi au daktari akipewa 200000 ujue ni mshahara!
  11. gReAt tHiNkA

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    acha upuuz weye mwana CCM, Kitu gani uelewi kuhusu mlimani...ndo nyienyie msio wazalendo,na kama uelewi basi haya mambo hayakuhus
  12. gReAt tHiNkA

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    acha upuuz weye mwana CCM, Kitu gani uelewi kuhusu mlimani...ndo nyienyie msio wazalendo,na kama uelewi basi haya mambo hayakuhus
Back
Top Bottom