Recent content by Grc Dudu

  1. Grc Dudu

    Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

    Wewe ulikuepo? Mona Gk alikuepo?
  2. Grc Dudu

    Ndio maana zamani hakukuwa na tatizo la nguvu za kiume

    Sufuria mkuu sio sefuria
  3. Grc Dudu

    Fumanizi...!

    Mkuu sasa wakikutoboa na visu sehemu zingine si ni yaleyale tu?
  4. Grc Dudu

    Six ways men can escape poverty

    bless up
  5. Grc Dudu

    Nimempa dawa bila ridhaa yake

    Nimemshauri Mara nyingi sana nimsindikize hospitali akapate tiba lakini hataki kabisaa unasema ye yuko fiti wakati Mimi naona hayuko fiti kabisaa, nikimshauri hata kufanya mazoezi hataki kabisaa kusikiaa, wakati yule mpenzi wangu alikua anapenda mazoezi na sometimes tulikua tunaenda wotee yeye...
  6. Grc Dudu

    Nimempa dawa bila ridhaa yake

    Kaka N uko sahihi.. Kosa lipo kwangu kwenye uandishi sijaeleweka.. Kwangu Mimi.. Mme na mchumba naona sawa tu.. Hyu kaka kaka anafany kaz sehem flani ivi... So tumewekean zamu za kulala sometime anakuj lala kwangu hata wiki nzma kabisa kwake anafunga na sometime Mimi naenda kaa kwake wiki .. I...
  7. Grc Dudu

    Nimempa dawa bila ridhaa yake

    Wa kwanza yule alikua anafika dakika ad 30 lakini hyu ye mwisho nne tu..ko alivofikisha hizo 18 niliona ni surprise kubwa kwangu
  8. Grc Dudu

    Nimempa dawa bila ridhaa yake

    Habarini wana JF.. Kama kichwa kinavyojieleza hapo chini. Mimi ni msichana wa 26+, Nina mchumba angu nmekaa nae kwenye mahusiano takriban miezi 2, nampenda sana licha ya kua na mapungufu kitandani...yawezekana akawa fiti kwa wasichana wengine lakini kwangu naona haniridhishi vizuri tofauti na...
Back
Top Bottom