Grc Dudu
Member
- Feb 1, 2018
- 11
- 27
- Thread starter
- #21
Nimemshauri Mara nyingi sana nimsindikize hospitali akapate tiba lakini hataki kabisaa unasema ye yuko fiti wakati Mimi naona hayuko fiti kabisaa, nikimshauri hata kufanya mazoezi hataki kabisaa kusikiaa, wakati yule mpenzi wangu alikua anapenda mazoezi na sometimes tulikua tunaenda wotee yeye huyu anapenda sigara na mikonyagi tu.haki ya mungu we mdada y usimshirikishe kuliko kufanya ulichomfanyia