Recent content by Grants

  1. Grants

    Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    Kweli sio haki ingawa wanapromoti ushindani wa ndani kwa ndani ya wanafunz wahusika Sema wale wanaohamishwa pia itawaharibu kisaikojoa kwa hawajiwezi
  2. Grants

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    safi sana.. wacha ajionee mwenyewe
  3. Grants

    Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

    Afadhali utufumbue.in wakat wakupokea mabadiliko.hakuna aliyemkamilifu.na ucmnyooshee mwenzio kidole.kama lowassa no mwiz uiz walianzisha wao.jaman jaman tz duuuu
  4. Grants

    Ananipenda lakini chamoto nakiona

    Kaka jichunguze rafik
  5. Grants

    Nipo njia panda

    Kua making sana usiangukie pua ndgu
  6. Grants

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Sisi sote n KTU kimoja
  7. Grants

    Wahaya wafukuzwa soko la Ilala

    Ukabila sio dili.sisi site no KTU kimoja
  8. Grants

    Naomba kusaidiwa wimbo wa Komba

    yann mm nimegoogle kila kona bila kuupata mbaya zaidi nikautafuta hadi kwa Ze Komedy.. HOLA sijaupata mpaka muda huu
  9. Grants

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Bora kajiengua.. MAHAKAMANI kunamhusu.. pia na Lundenga Inamhusu Mahakama
  10. Grants

    Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

    Ngoja tuone Haraka yao
  11. Grants

    Nauli za Daladala jijini Dar kupanda hadi sh 800; ruti zaidi ya 40 kufutwa

    Yaan BONGO kama ULAYA sasa.. na hao UDA aka shirika la Umma.. nao watapita wapi na ka zinamwagwa kama UTITIRI
Back
Top Bottom