Recent content by Grand Master Dulla

  1. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Tekelo ni nani?

    okok ok
  2. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Hivi unakijua kitabu kingine cha utabiri wanchotumia kama kina hawa shehe sharifu majini kwa kutabiri mfano mwanzo wa mwaka kuutabiri mwaka mzima na matukio yake ya ujumla yatakayotokea ndani ya mwaka huo,je huwa wanatumia vitabu gani kutabiri hivyo?
  3. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Marehemu Roy alikuwa anajua sana

    Sorry, nishaachana na muziki miaka mingi sasa hivi na dili na mambo mengine tofauti kabisa kaka.
  4. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Marehemu Roy alikuwa anajua sana

    Nadhani sasa tunadili na kizazi kipya mno si kile kilichofanya mziki kipindi kile,nimeusoma huu uzi kwa muda lakini kote naona masifio tu ya third parties/yaani sio wale washriki kwenye game,Nitakayoyasema naomba tusameheane kma nimewakwaza mashabiki wake lkn naongea kma mshiriki kwenye game na...
  5. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    hili jukwaa sio type yangu mbona bored sana!!!
  6. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    ina maana Tariqat Qadiriya.
  7. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    Hili jukwaa halina watu ama? Au lina nini hakuna hata mmoja anayemjua Sayyed jamani?
  8. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar? Kama yupo tafadhali naomba atujuze maana nimeitafuta kila sehemu lakini sijaipata wala hakuna vitabu vinavyomuelezea...
  9. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    ssi vibaya tukijifunza mbaya kumzuru nao mtu dhambi ndoinaanza hapo kujua tu hamna kosani elimu moja wapo.
  10. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    mi namjua imam ghazal tu kitabu chake maarufkwa jina hilo hilo.
  11. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    hayo yote nayajua sheikh naitaji mwongozo kidogouwa namnaya kukitumiabasi
  12. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    vipi nitajifunzaje ili mbaka nijue kukitumia mwenywe bro je unaweza kunifundisha?
  13. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    mi nakata nijue nitakipata wapi kwanza pili namna ya kukitumia mpaka nipate majibu na hivo vingine ni vipi unavyovijua wewe bro tujuze basi.
  14. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    I see salute mzee wewe nakukubali kweli unajua ntakutafuta mze baba unifundishe namna ya kukitumia bro
  15. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    hiki kitabu ulichokitaja hapa ni cha nini nieleweshe kidogo tafadhali
Back
Top Bottom