Zitto anasema anamiliki freelander na carina, hii land-cruiser ameiuza?, na hii Nissan anaifanyia biashara gani, Zitto hajawahi kutaja umiliki wa hizi gari, haoni kama Mkono kamuumbua, njia ya mwongo ni fupi,
angalau mkono kakubali kwamba huwa wanaongea na Lissu wakiwa kwenye kamati, who knows...