Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

zumbemkulu

Member
Dec 6, 2013
52
0
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.

Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.
 
grand-mal

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
337
0

HII NDIO KAZI YA CCM, NI CHAMA MAKINI KWANI MATUKIO YAO YOTE HUWA HAWAKAMATWI.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
Chama cha mizigo hata usajili hakina!kama huamini uliza kwa msajili.hakina sifa ya kuitwa chama cha siasa bali cha familia 7 karume,nnauye,kawawa,makamba,mwinyi,kikwete,nyerere
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.

Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.

Mkuu busara yako haisemeki!
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,728
2,000
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.

Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.

Join Date : 6th December 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ugeni wako hapa JF ndio umekusababishia kuandika ulichokiandika. Lakini tuachane na hayo Ebu naomba unipe Jibu katika nchi hii ni wapi kumeishatokea tukio la Kiongozi wa chama chochote cha Upinzani aliyewahi kuuawa na wananchi WALIOMCHAGUA? ukipata jibu utajua hiki ulichokiandika ni sahihi au la!
 
BALAKI

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
371
0
Be serious, acha kuaibisha wanaccm, wajuze watu kwa nn unaamini hilo ukianza tutakusaidia, mwenyewe hata moja hujatuambia unataka sisi tukusaidie nini
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
chadema= chagga development manifesto.

Kweli ww giza au niseme mburula No 1,utalinganishaje chama cha majanga na chama cha maendeleo hata kama ni cha kikabila???
>>>>>jihadhari sehemu nyingine si salama kuvaa nguo za kijani ni hatari kwa maisha yako kwani waweza kushushiwa mwvua ya mawe.
 
chimbondi

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
391
225
ni lazima una maslahi huko maana wote walioko huko wanawaza kesho wanaiba nini
au amuonee nani apate mlungula hiyo ndiyo sera ya magamba kwa miaka ya sasa baada ya mwl
wote ni wezi waone wanavyotofautiana na maunvi

kwa sababu wanajua akiingia madarakani hakuna cha liz wala makamba ni utendaji tu.
 
chikawe

Member
Mar 16, 2013
70
95
Nashukuru kwa kutambua kuwa CDM ni chama cha wanaharakati (activisties) na sio cha siasa kama Magamba. Plz hebu angalia sifa za mwanasiasa na mwanaharakati then ndo hurudi hapa jamvini. Jipange
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom