Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Leo ame ikoromea ccm kuwa ina uza viwanda kwa wa nunuzi wanao ua kusudi.Kiwanda cha baiskeli cha kwanza Tanzania kiliuzwa kwa mhindi aliye kifanya ghala la spea za baiskili toka India.Nahivyo kunusuru biashara ya kuingiza spea za baiskeli toka India.mbunge huyo toka Kagera ambaye mara zote husifu ccm leo amegeuka ghafla na kesema kwanini wame ruhusu sukari ya nje na hivyo kufanya kiwanda cha Kagera kupunguza wafanyakazi?Amesema ni sera ambayo hauikubaliki akiwaunga mkono wapinzani