Recent content by gran003

  1. gran003

    JamiiForums Tanzania Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hakuna usawa wa namna hiyo
  2. gran003

    JamiiForums Tanzania Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Haiwezi kuwa sawa kabsa Zanzibar watanufaika zaidi kuliko Tanganyika
  3. gran003

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

    kumzidi kila kitu siyo tatizo Ila ukweli usemwe tuna gawa rasilmali kama peremende
  4. gran003

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    hapo kwenye kuandika na kupangilia visa ni wewe tu umeshindwa ila siyo wana IT wote hawa wezi ila hongera umejitahidi na imeeleweka
  5. gran003

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    na kwenye mizagamuo kakazia sana kuliko kule polis
  6. gran003

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mabachelor

    hapo mwanafamilia ka wakilisha hoja yake mapema 😂😂
  7. gran003

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 mwanamke hapaswi kumwambia mume wako! Never!

    labda kam gari halijawashwa il kama ufunguo umesha kekenya kila kitu kitakuwa waz haina ubishi
  8. gran003

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wauza vifurushi wa mitandaoni

    haina haja ya kuwashitua. acha wapigwe hongera kwa kupigwa hiy pesa
  9. gran003

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke kaacha kukupenda, achana naye kabla hujaachwa

    akienda usimruhusu akurudie kamwe
  10. gran003

    JamiiForums Tanzania Utii wa wanawake wa kisasa

    hujakosea wakisha fika 30 huwa wanafat kanun na hasa akisha kuwa na mtoto asiye ijua sura ya baba yake (single mama)
  11. gran003

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    chapisho zuri na lenye kuhitaji kufanyiwa kazi lipo safi
  12. gran003

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    posho sio deni
  13. gran003

    JamiiForums Tanzania Afikishwa mahakamani kwa kuwaingilia Mbuzi wa jirani kimwili

    hapo mimba kama imeingia anazaliwa mbuzi mtu🔥🔥
Back
Top Bottom