Kabudi alimwaga sana madini nje ya mfumo , kaingia kwenye mfumo kakana madini yake sasa mtu wa namna hii huwezi kumuamini hata siku moja, it was a good test na akafeli. Kifupi haaminiki tena. Lissu ana tatizo la ujuaji na jazba na mara nyingi hutumia maneno makali pasipo na sababu, unaweza kuwa...
Kabudi tumemuona awamu ya JPM , huyu bwana uongozi hauwezi kabisa kifupi alikuwa exposed kirahisi sana, Professor anafika mahali anasema ametolewa jalalani 😂😂😂 na bado unaona ni kiongozi . Hatuhitaji watu wa kupinda pinda maneno ili kumfurahisha mtawala.
Lissu ni mpinzani mzuri ila si kiongozi...
“Mara hii Tanzania imeingiza timu mbili robo fainali baada ya Yanga kubahatika kuingia robo fainali kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe hivyo kuungana na simba ambayo imekuwa ikifika hatua hii mara kwa mara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kituo cha mafuta kiingize kodi ya mil 500 kwa mwezi. Hakuna kituo cha mafuta nchi hii kinaweza ingiza kodi hata robo ya mil 500 hakuna? Hizi data mnazipataga wapi ? Muwe mnajaribu ku research kidogo wakuu
La ethipia sidhani kama project nzima imeisha .. nafikiri ndo kwanza wamejaza maji awamu ya kwanza na inaweza chukua zaidi ya 3 yrs . Hizi project si mchezo. Kujaza maji tu ni miaka achana na kujanga
Long story short:
I am 34 yrs of age
Tall
Living & Working in Dsm
Born in Dsm
Bachelor degree
Never married
Christian (Not much devoted)
A kind of a lady am looking forward to be my love should be , 25-33 yrs, somehow tall (not a must) Living in Dsm (not a must) beautiful, caring and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.