Recent content by Graduator

  1. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza duka la dawa muhimu (DLDM)

    Vp Tin number unaweza endelea kutumia au kubadilisha? Na hizo dawa ndo hizo tu au kuna dawa store? Mauzo KWA siku yakoje? Na vikindu sehemu Gani TOKA Barabara kuu?Je ni mtaani au visoko/madukani. Hela ngumu mzee,visingizio vya kuhamia mkoani na kuwaachia watu misala mpate kuuza imezid sasa
  2. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    WaTZ tumezoeshwa kuuziwa bei kubwa sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    Kwa mahitaji ya scientific calculator usisite kututafuta bei 25000/=
  4. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    Karbu sana,faida ninayopata inanitosheleza
  5. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    Mnunulie mwanao,mdogo ako,ndugu yako,kaka au dada ako na rafiki. Calculator hizi ni nzuri na utajiridhisha kwanza kama ni original kabla ya kuchukua, Stationary zinauzwa kuanzia 35000-40000 na baadhi ya mikoa mpaka 50000. Sisi kwetu tunakuuzia bei ya kitanzania kabisaa. 25000/= tu
  6. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    Original calculator kwa ajili ya vijana wa secondary kuanzia kidato cha tati na kuendelea zinapatikana bei chee tu 25000 Tupigie 0755379743
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kwenda kusoma lugha Uturuki, niende ama nisiende?

    Nenda uturuki ukapate exposure mzee
  8. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    Karbuni Sana. 0755379743
  9. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original scientific function calculator zinauzwa

    For; University students O-level student Advanced level students. Bei ya offer:25000/= badala ya 35000/= Tunapatikana mabibo mwisho na ubungo river side Mawasiliano 0755379743
  10. G

    JamiiForums Tanzania Bembea ya mtoto na kiti vyote vinauzwa

    Oooh shukran mzee.nilitaka bembea tu hyo kiti hapana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bembea ya mtoto na kiti vyote vinauzwa

    Bembea kula 40000 hyo
  12. G

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Madagascar-Covidal bado inafanyiwa majaribio tu?

    watupe feedback banaaa
Back
Top Bottom