Bembea ya mtoto na kiti vyote vinauzwa

Bembea ya mtoto na kiti vyote vinauzwa

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,401
Reaction score
7,900
Bembea ya chuma kwa ajili ya mtoto mdogo inauzwa kwa bei nafuu sana sh 90,000 tu offer

Kiti cha chuma kwa ajili ya mtoto mdogo kinauzwa kwa bei nafuu sana sh 50,000 tu, vyote vimetumika kidogo sana na vipo katika hali nzuri sana with maximum potability hata kwa daladala unavibeba tu mpende mwanao.
IMG_20200905_130528.jpg
IMG_20200905_130317.jpg
 
Kwani huzai tena??? Kama huna shida sana itunze
 
Bembea ya chuma kwa ajili ya mtoto mdogo inauzwa kwa bei nafuu sana sh 90,000 tu offer

Kiti cha chuma kwa ajili ya mtoto mdogo kinauzwa kwa bei nafuu sana sh 50,000 tu, vyote vimetumika kidogo sana na vipo katika hali nzuri sana with maximum potability hata kwa daladala unavibeba tu mpende mwanao.View attachment 1559345View attachment 1559348
Kama bado zipo katika condition nzuri kula 80000 kwa zote
Nimtume mtu afate ulipo.
 
aya aya watejaaa bei imepungua mzigo huo offer offer boss kalewa
 
Back
Top Bottom