Taasisi zenye watu wa kujitolea zinawatumia bila kubadili chochote kwa muda mrefu. Wanalipwa kidogo wakifanya kazi nyingi

Nimetumia msemo wa kufa kufaana nikiwa na maana unapopata wewe tatizo mwingine analitumia kama fursa.

Tangu kuanza kwa Serikali ya awamu ya 5, suala la ajira za Serikali na sector binafsi limekuwa ndio tatizo kubwa kwa watanzania wengi hasa wahitimu wa vyuo.

Nitatolea mfano wa research ndogo niliyoifanya juu ya faida kwa baadhi ya taasisi kunufaika zaidi kutokana na ukosefu wa ajira.

Mfano hospitali ya KCMC iliyopo Moshi Kilimanjaro ina idadi kubwa ya Medical attendant pamoja na Nurses ambao wanafanya kazi kama volunteers

Unakuta kwenye idara moja , idadi ya nurses na medical attendant ni 20 , katika hao 20 watu 15 ni volunteers and wa 5 ndio employed either by government or by GSF (Good samaritan foundation). Sababu hospital inaendeshwa kwa mfumo wa PPP.

Kwanini volunteers ni wengi kuliko employed?

Siri iko hapa volunteers wa category ya medical attendant kwenye overtime zao wanalipwa Tsh 5000/= lakini duties za kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8 mchana wanafanya kwa kujitolea hvyo basi akiongeza muda yaan mpaka saa 2 usiku, au akiingia saa 2 usiku hadi saa 2 asubuhi ndio anawekewa sh 5000. Kwa upande wa nurses wao inaongezeka na kua elfu 10.

Kutokana na hesabu hiyo , medical attendant akitumikia overtime zote za mwezi mzima bila kupumzika , bila kuugua , bila kupata dharula yeyote ile, at the end of the month anapokea total Tsh 150000/= , na kwa upande wa nurses total of Tsh 300000/=.

Kwa upande huo umeipelekea Taasisi kuwa na cheap labour wengi wenye ujira mdogo lakini wanafanya kazi nyingi za kuiingizia taasisi pesa nyingi and unfortunately bado yanatafutwa makosa madogo magogo ya kukipunguza kipato cha cheap labours ( Alienacho huongezewa na asiyenacho hata kidogo alichokipata hunyang'anywa ), unfortunately again hyo hyo ndogo hawalipwi kwa wakati , na kipindi wanapodai maslahi yao wanatishiwa kufukuzwa, na kwakua hawana pakukimbilia wapo kimya kama machozi ya samaki. (Alieshiba hamkumbuki mwenye njaa).

Nimeamua kuandika hii thread kwaajili ya kupaza sauti na wao wasikike indirect, they're too busy but they earn nothing.

Volunteer katika hyo taasisi zimeanza lasmi 2017, vijana walianza kufanya kujitolea ili wapate ajira kwa baadae, lakini cha ajabu huu ni mwaka wa 3 bado wanajitolea na hakuna kwa kukimbilia.

Watanzania wenye nafasi tupendane na kuwajali wasio na nafasi. Ningetamani kuona huu ujumbe atleast unawafikie wengi.
Samahani, Hivi Medical attendant ni MD au Certificate?
 
Kwa kweli serikali suala la ajira kwa vijana waliangalie kwa jicho Pana Sana, otherwise 2025 wanaweza kukutana na uchaguzi mgumu haujawahi tokea ndani ya nchi hii.
Kwa taarifa yako huwezi kuitishia serikali iliyo madarakani

Huwezi kukitisha chama tawala..

Wewe tafuta zako ugali,kula...lala...amka next day ,tafuta binti tia mimba...anzeni kulea..lipa bili
 
Kwa taarifa yako huwezi kuitishia serikali iliyo madarakani

Huwezi kukitisha chama tawala..

Wewe tafuta zako ugali,kula...lala...amka next day ,tafuta binti tia mimba...anzeni kulea..lipa bili
Serikali ya Tunisia iliangushwa hivyohivyo, nawatu wanaojihangaikia kisa ukosefu wa ajira.
 
Serikali ya Tunisia iliangushwa hivyohivyo, nawatu wanaojihangaikia kisa ukosefu wa ajira.
Tunisia na Tanganyika ni vitu viwili tofauti...

Tunaizungumzia Liberation country,champion wa harakati na mapinduzi ya nchi zingine za africa.

Tunaizungumzia nchi ya kimapinduzi na inayoweza fanya figisu za aina zozote...

Tunaizungumzia nchi yenye moto wa kuotea mbali..ukiusogelea unakuunguza.

Muulize kagame,muulize uhuru kenyatta,muulize Mu7,muulize Ndaishimiye leo kasema Tanzania ni "wazazi"

Alafu kinakuja ki graduate cha 2017 kinaitisha nchi ya namna hii??...hebu kamuulize corona virus alichofanya.

Naipenda Nchi yangu...itoe ajira isitoe ajira.
 
Nchi hii ambayo ninchi masikini, inayoshika nafasi yanane kutoka mkiani😄.

Nchi hii ambayo miaka takribani 59 baada ya Uhuru bado maradhi,ujinga umasikini bado vinatusumbua, nchi hii ambayo watu wake baadhi wanajisaidia vichakani kwa ukosefu wa vyoo.
Nchi hii ambayo ufisadi umejaa na umetamalaki kila mahala, nchi hii hii ambayo mtu mmoja anaweza kuamua watu walale na kuamka saa ngapi?.

Nchi ambayo binadamu hunywa maji ya madimbwi ambayo hunywa ng'ombe pia. Ndio hii hii tunayoizungumzia Tanzania nasi Tanganyika.
 
Nchi hii ambayo ninchi masikini, inayoshika nafasi yanane kutoka mkiani.

Nchi hii ambayo miaka takribani 59 baada ya Uhuru bado maradhi,ujinga umasikini bado vinatusumbua, nchi hii ambayo watu wake baadhi wanajisaidia vichakani kwa ukosefu wa vyoo.
Nchi hii ambayo ufisadi umejaa na umetamalaki kila mahala, nchi hii hii ambayo mtu mmoja anaweza kuamua watu walale na kuamka saa ngapi?.

Nchi ambayo binadamu hunywa maji ya madimbwi ambayo hunywa ng'ombe pia. Ndio hii hii tunayoizungumzia Tanzania nasi Tanganyika.
Endelea kushupaza shingo..
 
Tunisia na Tanganyika ni vitu viwili tofauti...

Tunaizungumzia Liberation country,champion wa harakati na mapinduzi ya nchi zingine za africa.

Tunaizungumzia nchi ya kimapinduzi na inayoweza fanya figisu za aina zozote...

Tunaizungumzia nchi yenye moto wa kuotea mbali..ukiusogelea unakuunguza.

Muulize kagame,muulize uhuru kenyatta,muulize Mu7,muulize Ndaishimiye leo kasema Tanzania ni "wazazi"

Alafu kinakuja ki graduate cha 2017 kinaitisha nchi ya namna hii??...hebu kamuulize corona virus alichofanya.

Naipenda Nchi yangu...itoe ajira isitoe ajira.
Even a cornered mouse will attack the cat.. who knows!?
 
Back
Top Bottom