Yan hapa magufuli anawasikilizia tu...mana yeye ndio anamtuma bashite ole wake mwigulu afungue bakuli lake...bashite hapo bichwa kubwa kuwa na bae mkulu raha sana unafanya unachotaka
Kwa hyo nape alijitolea bunduki, clouds walijiteka, bashite haitwi makonda, wauza madawa wa bashite wamekamatwa wote,... Bashite na kampuni yako msitufanye wajinga kila kitu mnasingizia wauza madawa sasa hivi michanga mara madili..watu hawana ajira, viwanda bado ndoto...basi na wajiteke tu ipo...
Spika nae wakati mwingine huwa ana maneno ya kukera..ila ile fala ilikuwa ya kigwangala sio ya spika..hili lipite sasa turudi kwa bashite mwizi wa vyeti.
Magufuli hana historia ya kumisiwa...wizara zote alizopitia hakuna hata wizara moja wanammis..kwanza alikuwa akihamishwa wanashukuru sembuse wana kagera aliotulia michango yetu..!! Kumisiwa ataendelea kuota tu
Bunge zuri sana na waendelee kuonyesha live tunapata muda wa kuwajua wabunge wetu....mambo ya kusemeana mbovu ni ya kibinadamu..wanaprovokiana unategemea nini?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.