falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,298
KAULI ZA WABUNGE WA CCM BUNGENI LEO 11/04/2017
Hivi Waziri wa Habari alikwenda kufanya nini katika Press ya Roma, mkiambiwa mlimteka mtakataa? Bora kusema ukweli kuliko kukaa kimya, najua mtasema kwa kuwa nilikosa uwaziri No! - Juma Nkamia (CCM)
Mimi nimekamatwa na kuteswa na Usalama wa Taifa. Nimenyanyaswa sana nchi hii. Ikibidi mnifukuze CCM (machozi) - Hussein Bashe (CCM)
Hakuna sababu ya Mwigulu kuendelea kukaa kimya wakati wananchi wanaishi kwa wasiwasi juu ya usalama wao. Kutoa kauli kunasaidia kutoa hofu. - Ridhiwani Kikwete (CCM)
Mimi ni miongoni mwa wabunge niliotishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar, na mpaka sasa mimi sikanyagi Dar licha ya kuimisi sana - Hillary Aeshi (CCM)
Jamani ifike hatua sasa Rais Magufuli ajitafakali upya. CCM imepasuka vipande na serikali yake kwa ujumla imepasuka vipande. Serikali imekosa umoja wa kitaifa kila siku ni new series.
Hakuna anayekumbuka kukuza uchumi sasa kila mtu anawaza ni muda gani atauwawa