Recent content by gracious86

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Very sad indeed. Apumzike kwa amani
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo CRDB

    Habari ya muda huu wapendwa. Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo crdb. Huwa inaruhusiwa muda gani baada ya kupata mkopo wa kwanza?;msaada wenu please. Mimi ni mtumishi wa umma
  5. G

    JamiiForums Tanzania Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    nimecheka hadi machozi yamenitoka!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kula/kutafuna kucha

    A victim here...
  7. G

    JamiiForums Tanzania LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    duuh! hili nyomi la hapa balaa! halaf hadi saa hizi bado hakijaeleweka
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    hii portal naona kama ni magumashi matupu alafu ni ya kidwanzi! mtu wanamuandikia First Interview alaf baadae tena eanabadili status kuwa Application review in Progress...sasa which is which? Mi wamenikera kis....
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Asante Mkuu..... mimi ni ke.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Inshaallah Mkuu...thanks.... ila naona kama hawana umakini coz juzi nlivyocheki nikakuta status First Interview kwenye kazi zote nlizoapply...leo nacheki naona Application Review in Progress! au ndo kuchinjiwa ocean kwenyewe...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Mkuu hata mimi nimekuta zote nilizo apply nimeandikiwa First Interview ila nimecheki majina hakuna... mfano hawajaweka applicants wa Tanzania Tree Seed Agency....sasa sijui inakuaje? au watatoa baadaye tuendelee kusubiri mkuu wangu au tumuite kuku wa kienyeji atusaidie hapa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    Hongera na ubarikiwe sana! usisahau kutoa zaka....
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    hahah hah ha
  14. G

    JamiiForums Tanzania Viettel Telecommunication Company

    Aisee! kumbe!!! basi majanga... nilivyoona maelezo ya kampuni kwamba wana cut across Africa na Asia nikafikiri watakua na mishahara mizuri kumbe hamna lolote
Back
Top Bottom