Katika jamii ya waamini Ulimwengu wa Kikristo, Kesho nisiku Muhimu ya Kuazimisha Ufufuo wa Yesu Kristo.
Tunatarajia Kupata au kusikia matamko ya Viongozi wetu wa imani kutoka kwenye madhabahu mbali mbali za makanisa.
Mala nyingi viongozi haswa wa Tanzania utumia sikukuu hizi kutoa yao ya...
Hivi nikiwango gani cha joto
(nyuzi joto) kikifikia hapo serikali
Inatangaza hatari?
Kama wenzetu Qatar ,kazi ni saa
Moja hadi saa nne asubh . Mnaingia tena saa kumi jioni.
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.